Uchaguzi 2020 Napinga viongozi wa dini kukutana kwa lengo la kuelezea kinachoitwa mafanikio ya Rais Magufuli, hii ni kampeni na haikubaliki

Uchaguzi 2020 Napinga viongozi wa dini kukutana kwa lengo la kuelezea kinachoitwa mafanikio ya Rais Magufuli, hii ni kampeni na haikubaliki

Kwahiyo viongozi wa dini waseme mazuri ya viongozi wa siasa siku viongozi hao wakifariki ????
 
Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zako
Uovu katu hauwezi ishinda Jamii.
Mtafinyanga wangapi Hali sisimizi wapo siku zote tangu ujazaliwa
 
Mbona nguvu nyingi inatumika kuelezea mafanikio? Kwann wasiache mafanikio yajioneshe?
 
Hao hao hata kama machoni mwa watu wanaonekana ni dhaifu lkn wana wafuasi wao wanao WAKUBALI na kuwaamini.
Ni shida viongozi wa dini ni wanafiki na mayuda wakubwa lazima jehanum iwahusu kwa unafiki wao
 
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!

Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.

Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?

Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.

Huyo shehe mkuu wa dsm hana tofauti na gwajima, wapo kimaslahi tu.
 
Sijajua watafanyaje ila siku za karibuni viongozi wa dini wanakosoa na wengine wanasifia,so nikuvumiliana tu,si kila wakati utasikia yanayokufurahisha hasa ktk kipindi hiki kinachoitwa uhuru wa kutoa maoni
 
Utaafiki hivyo hivyo kama viongozi wa dini watakusanyika Kwa lengo la kuelezea mabaya ya serikali ya awamu ya 5?

Viongozi wa dini kwa nafasi zao wanapaswa kuunga mkono au kukosoa serikali, napinga hili la kukusanyika kwa ajili ya hilo!
Wewe wangekusanyika kupinga ungeunga mkono.
 
Screenshot_20200724-175202.png
 
Back
Top Bottom