Uchaguzi 2020 Napinga viongozi wa dini kukutana kwa lengo la kuelezea kinachoitwa mafanikio ya Rais Magufuli, hii ni kampeni na haikubaliki

Na watakuwa wanamuelezea nani hayo mafanikio?

Au PM mwenyewe ??
 
Uovu
Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zako

katu hauwezi ishinda Jamii.
Mtafinyanga wangapi Hali sisimizi wapo siku zote tangu ujazaliwa
Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zako
 
We nawe masikini hata hela ya kula viazi vya mchana umekondeana hvy umdhibiti naani kimbambao ww
Ukiona mtu anafanya personal attacks kwa mtu asiyemjua hata anafananaje basi jua mtu huyo ni mbumbumbu na ameshindwa hoja!
Huenda una hali ngumu ukilinganisha na unayemshambulia, jinga kabisa!
 
Back
Top Bottom