Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

Ukimaliza kupinga njoo hapa chini ya mti kwenye kivuli nikwambie kitu.
Kumbe hata ccm nao ni pinga pinga.
 
Kwa hiyo chadema hawakupinga ujenzi wa SGR?
Wapi na lini,weka official statement ya Chadema kupinga ujenzi wa SGR. Hiyo chuki yako kwa Chadema imevuka mipaka hadi imekufanya kuwa mwehu kiasi hakuna kitu tena unaweza kuchangia humu zaidi ya kuitukana Chadema na Lissu. Utakufa bure kwa kihoro kwani Chadema ipo sana.
 
Inawezekana ikawa kweli lakini wakati wa kukatwa kodi sote tunakatwa anayepinga na kutopinga sote tunakatwa hawaulizi wala kubagua nani hataki na nani anataka. So, kupanda ni haki yao maana ni SGR ya Watanzania
 
Vipi kama mliyekuwa mnampinga angeahirisha ujenzi?
 
Mbowe hakufurahia huo mradi kwasababu alikua ana convert budget na bei ya konyagi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wasamehewe tu Kwan nyingi mnavoibaga mihela kibao na mnadunda tu duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…