Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR



Kama kuna utaratibu wa kuhakikisha pesa zao za kodi hazitumiki wala hazijatumia kulipa madeni fanya hivyo. Vinginevyo chukuwa pesa yote ya mradi trilioni 20/ watu milioni 61. Chukuwa hilo jibu gawanya kwa watu milioni 10 wa chadema na wape pesa zao na hizo pesa hakikisha ujatoa kwenye kodi zao au makato yeyote kama utaweza.

Kama huwezi hilo nyamaza kwasababu huna pesa yako huwezi kuweka masharti kwa pesa ambayo wametoa wengine
 
Vipi kama mliyekuwa mnampinga angeahirisha ujenzi?
Haina shida tungekosa sote walipa kodi lakn kwakuwa hakuahirisha na bado kodi kwa wote zinakusanywa basi matumizi kwa kila mtanzania
 
Wewe sio mzima huko kichwani kwako na wasiokujua ndio wanakuchukulia serious.

Huo mradi sio wa CCM wala CHADEMA , sio wa wenye dini wala wasio na dini hizo ni kodi za watanganyika na mkopo wa mradi huo utalipwa na watanganyika bila kujali itikadi zao.

Huo mradi hata bibi yako kule Simiyu akinunua bidhaa kodi itarudi kufidia deni hilo.
 
Haina shida tungekosa sote walipa kodi lakn kwakuwa hakuahirisha na bado kodi kwa wote zinakusanywa basi matumizi kwa kila mtanzania

Kumbe lengo lenu la kupinga ni ili watanzania wakose maendeleo?
 
Kumbe lengo lenu la kupinga ni ili watanzania wakose maendeleo?
Lengo la nani? Mimi nazungumza kama mtanzania kwamba iwe walipnga au hawakupnga kwakuwa nao walikatwa kodi na bado wanakatwa basi kupanda wanapanda tu
 

Achana nao wale hawajielewi. Hukumbuki kuna mmoja akawa anaongea kwamba hatuna ndege, mpaka mishipa ya shingo inasimama. Baada ya ndege kununuliwa akaanza tena kupinga kwamba kwa nini ndege zinanunuliwa. Anaongea mpaka povu linamtoka mdomoni.
Sasa jamaa yangu Etwege ukianza kufuwafuatilia utaumiza kichwa buree.
πŸ˜›
 
SGR ni mali ya Wazanzibari?.
 
Nyumbu hawajawahi kujitambua hata kwa dakika moja tu
 
Sasa hivi wamehamia kuhujumu miundombinu
 
Na pia upinge vilevile hawo wafuasi wa chadema kulipa kodi
 
Acha ubaguzi hii nchi ni ya watanzania wote. Mbona CCM imekuwa ikitumia ilani ya CDM kuongoza serikali lakini wao CDM hawajawahi kulalamikia madesa yao kuporwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…