Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

Acha ubaguzi hii nchi ni ya watanzania wote. Mbona CCM imekuwa ikitumia ilani ya CDM kuongoza serikali lakini wao CDM hawajawahi kulalamikia madesa yao kuporwa
Kuwaanika wasaliti wa taifa siyo ubaguzi
 
Napinga nyie kubanda mabasi,ndege wala train mpande yale malori yakuwaoeleka kwenye mikutano yenu
 
Kwahiyo wafuasi wa Mwamposa nao wasitumie lami zetu tulizojenga kwa kodi za Pombe wanazokemea kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…