Napinga Wakili Mwabukusi kuulizwa kwanini anataka kuiangusha serikali. Ni JWTZ peke yao ndio wana uwezo wa kuiangusha serikali

Anaweza tu kuipindua serikali kwann asiwez,Kila mtanzania ni JWTZ ndo maana ikaitwa Jeshi la Wananchi Tanzania.

Ila anaweza asiwez kwasabu ajawa special trained yan ajawa mwanajeshi.
But uwez jua backup yake nyuma nchi kubwa hii sema watu ndo awana uthubutu.
 
Kama unamkumbuka Mohammed Bouazizi wa Tunisia usingesema ni jeshi tu ndio linaweza

Kijana huyo ndio alianzisha Arab Spring baada ya kukosa ajira na kuamua kujichoma moto na hapo nguvu ya Umma ikafanya yake

Hakuna kudharau kitu kwani wakati mwingine mabadiliko yanaweza kuwa tofauti kabisa

Tuheshimu amani hata kama hatuna furaha
 
Serikali ni dude moja kubwa sana na lenye nguvu, likitiwa jambajamba hata na mtu mdogo asiye na nguvu linajamba kwa hofu tu. Hivo ni vitisho tu, kuiangusha serikali ni shughuli pevu iliyopangika systematically. Sasa huyo wakali ana hata kikosi cha wanamgambo wenye nguvu za kijeshi kuweza kupambambana na majeshi ya serikali na kuyashinda? Hiyo ni mikwara tu
 

Tanganyika Rifles strike and rebellion​

In general there was a feeling of dissatisfaction among the TR soldiers. His reason was the hope that independence would bring greater change and opportunities for promotion after the departure of white officials. But British officials continued to be employed by Nyerere's government and the large differences in income and housing conditions between Europeans and Africans continued. Even on the contrary, the soldiers who used to have a high salary according to other African government employees saw that their income did not increase while the salaries in general increased more. In addition, the TANU government sent young people from the TANU Youth Union for military training in Israel and after returning they were given jobs in the army and some of them were promoted through soldiers who had served for many years.

In January 1964, two results were widely discussed among the soldiers, one was Nyerere's announcement where he declared the end of the politics of "Africanization" in government service [4] . This announcement caused union leaders to complain. Another event was the news of the Zanzibar revolution that began on January 12, 1964.

On January 20, 1964, still during the night, the first TR unit at Colito Barracks [5] in Dar es Salaam rebelled and got weapons from the warehouse. British officers were arrested and imprisoned but chief Douglas was able to hide. The rebels attacked the radio station, the airport, the palace and the post and telephone office. Non-participating British and African officers and rebels were transported to Kenya. President Nyerere was sent by his guards secretly to Kigamboni in a secret effort later known as operation Magogoni . He was hidden at first in a private citizen's house, later in the Catholic Church . He left minister Oskar Kambona [6]the task of communicating with the military. The demands of the soldiers were the dismissal of British officers and an increase in salaries. The first days of the military strike were followed by periods of chaos in the city alternating with periods of silence, attacks on Indian shops and the arrest of a few Europeans. Even the British ambassador was arrested for a short time.

Minister Kambona started negotiating with the soldiers and promised them an increase in income and gave high positions to several Africans. Nyerere recorded a speech broadcast on the radio when he criticized the military and demanded calm. The soldiers returned to the camp but returned to the city the next day. Also in Nairobi and Kampala there was a mutiny of soldiers - all former KAR soldiers. Presidents Milton Obote and Jomo Kenyatta did not hesitate to ask the British military forces that were still stationed to quell the violence. Finally, Nyerere started communication with England, which sent submarines and soldiers from Aden to Dar es Salaam. [7]The secret police of Tanzania began to get information that also among the soldiers of the Field Force unit discussions had begun to support the efforts of the soldiers, also the movement among the workers at the port and the fear was that part of the leaders of the workers' union had plans to join them.

On January 24, the Tanzanian government officially requested the United Kingdom to intervene and quell the rebellion. On the morning of January 25, a small group of English soldiers left by helicopter on a ship sitting in the sea near Dar es Salaam and attacked the Colito Barracks camp. General Douglas addressed the soldiers through a loudspeaker and demanded that the soldiers surrender. At first they refused, but after a short attack by the British, most of them surrendered, others fled and the leaders were arrested. Similarly, Dodoma and Nachingwea soldiers who once joined the rebellion surrendered without resistance after the arrival of a few British soldiers.

Other residents of Dar es Salaam were afraid that Britain had returned to return the colony but after hesitating for a few hours, Nyerere explained through the radio that the British intervention followed the request of his government.

Many people were arrested after these events and investigated if they had any connection with the rebellion. [8]

The British soldiers left in April 1964 and their place was taken by a force from Nigeria that arrived on behalf of the African Union following the request of the Tanganyika government. [9]

Establishing a new people's army​

After the rebellion, the TR army was disbanded. All soldiers were dismissed. Part of the soldiers from Dodoma were re-employed in the new army but those from Dar es Salaam were not returned. African officers who generally sided with the government and did not participate in the rebellion were rehired.

Political army under TANU/CCM​

The new army was built by recruiting mainly members of the youth union of TANU and was named the Tanzania People's Defense Force (TPDF). [10] This new army was placed under the supervision of the TANU party (later CCM) following the style of countries like Russia and China. The first commander was Mrisho Sarakikya who had stood on the side of the government during the rebellion and was promoted from lieutenant to colonel, later to general. Nyerere wanted an army with a political character. Every soldier was expected to be a TANU cadre, and the TPDF was counted within TANU's "Army Region" along with the police and prisons. The Military Region was counted the same as other geographical and administrative regions of the country.

JWTZ soldiers wearing UM hats

JWTZ in a multi-party system​

In 1991 the Nyalali Commission proposed changing the political system of Tanzania and moving to a multi-party system ; in 1992 the proposal was received, so the country's constitution was changed accordingly. Article 147 of the constitution prohibits all soldiers from being members of a political party. [11]

Expansion of JWTZ​

At first JWTZ was a small army with fewer soldiers than TR but by 1967 it was expanded to have 4 battalions. In 1972 JWTZ was estimated to have 10,000 soldiers in four battalions with equipment of 20 T-59 tanks, 14 T-62 tanks , tanks of Russian and Chinese. Blades were in short supply and part of the equipment could not be repaired. [12]
 
Tatizo mnataka kuingilia kazi ya police ambayo kimsingi hamuijui. Ukitoa matamshi yenye utata juu ya usalama wa nchi police wana react kuchunguza motive kabla ya hatari yoyote kutokea.
 
Hii nchi kuna muda huwa ina mambo ya ki mama mama, mlisema awamu yenu ni ya demokrasia hamkujua demokrasia inajumuisha kutofautiana ki mawazo?? Ukiona hoja zinazotolewa na upande X ni za upotoshaji kwa mini usizijibu kwa hoja sahihi?? Kujibu hoja za upande X kwa kutumia polisi kukamata watoa hoja ni sawa na kujibu hoja zao kwa kuwauliza Unajua Mimi ni nani?? Rubbish.
 
Hawa akili ndogo, mwabukusi na mdude waangushe serikali? Labda ya Kijiji chao.
 
Bouazizi ni changa la macho.Mchezo wote ulichezwa na CIA.
 
Fear of the unknown...! Always the guilty ones are afraid.

Ukiwauliza hofu ya nini watatunga uongo ku justfy their fears.

Maneno ya Mungu yanasema mwenye dhambi hukimbia hata asipokimbizwa...!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaumba wahaini Kwa maneno Yao kama walivyomuumba gaidi Hamza Kwa kumsingizia Mbowe!!

Tusubiri!!
 
Hivi kuna mtu aliyekuwa na maneno ya vitisho kama Marehemu Mtikila.
Hii issue ya bandari imezungkukwa na mashaka makubwa sana,kiasi hata watu waliokuwa hawana habari nayo sasa wanaifuatilia na hii yote imechangiwa na kukosekana kwa uvumilivu na udhaifu wa viongozi kukabili hoja za wapinzani.
Spika Tulia anajinasibu yeye ni Mwalimu wa sheria,hatukatai lakini anaweza kupuuza utaalam wa sheria wa Prof. Shivji, Dr. Nshala na wengine viongozi waandamizi kama kina Mzee Warioba.
Uoga haujawahi kuisaidia Dola/serikali yeyote zaidi ya kuiangamiza. Huyo Biden unayemsema yale maneno anayorushiwa ingekuwa huku basi mngewauwa wengi.
 
#Mayor Quimby, umesikiliza hii habari uliyoiweka hapo vizuri?!

Mbona nakufahamu kwamba una akili vizuri tu.

Kweli umeshindwa kuelewa kinachozungumzwa hapo!

Nasikitika sana, mie nilikufahamu kama mtu unayeweza kuelewa hata habari tu , achilia mbali uchambuzi.

Habari ni tofauti kabisa na hii issue ya akina Mwabukusi.

Anyway una lengo lako.
 
Huyo kiongozi wa kisiasa aliyesema haki haitapatikana mahakamani alikuwa sahihi kabisa. Ingekuwa mahakama ya kimataifa hapo haki ingepatikana. Lakini kwa hizi mahakama zinazopokea amri toka kwa viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi, ni wendawazimu kutarajia kupata haki.
 
Kwenye mahakama zipi? Unataka kufundisha watu uoga?
 

Waache waendelee kukaza fuvu
Wtz unafk wetu ndio utatuponza
 
Na wao wanajua,wanafanya vurugu tu.Huyo wakili akitukanwa at ktishiwa maisha atakaa kimya?Hatakwenda kwenye vyombo vya sheria?

Afu kuna ka wakili uchwara hapa kwenye uzi kamehalalisha ilo jambo
Cjui mnawaza nn yaan mtu atoe kauli za kichochezi na hatar afu asiguswe kisa ni chama pinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…