Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Haraka ya nini?
wamewakamata Viongozi wa CHADEMA kwa woga wa kuandaa maandamano, CCM ni hooligans. Wewe kama ni CCM ni mpumbavu, waachieni Viongozi wetu bila kuwadhuru. Mbwa nyieTaarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma.
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Mzee wa kuandama humu jamiiforums lini hata uliwahi kusema sooTaarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma.
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Acha vijana wapashe motoHaraka ya nini?
Karibu sanaMzee wa kuandama humu jamiiforums lini hata uliwahi kusema soo
USSR
Tupe uthibitisho kwa hilo unalosema.Taarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma.
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Jiongeze weweTupe uthibitisho kwa hilo unalosema.
Mbeya jana kulikuwa na mgomo wa bajaji na boda na si kile unasema.
Ulichoandika ni disinformation with intent to stir!Jiongeze wewe
Joyce luwagoTaarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma.
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Okey,Taarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma.
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Mwenyewe nimeshangaa.. Sijui hata wanawahi nini.. Leo Mbeya kimenuka kwa migomo na maandamanoTaarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Kuna kitu hukijuiUlichoandika ni disinformation with intent to stir!
Noma sanaMwenyewe nimeshangaa.. Sijui hata wanawahi nini.. Leo Mbeya kimenuka kwa migomo na maandamano