instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Hao panyaroad kwanini wanafugwa kiasi hichoMBEYA Barabara ya chuo cha CUOM watu wakidai haki zao. Hadi muda huu maandamano yanaendelea
View attachment 3694523
Hao panyaroad kwanini wanafugwa kiasi hichoMBEYA Barabara ya chuo cha CUOM watu wakidai haki zao. Hadi muda huu maandamano yanaendelea
View attachment 3694523
Wapige marufuku usafiri wa bajaji mbeyaMbeya yanahusu bajaji kukatazwa kuingia main road kwaio leo bajaj hazitembei so monie daladala zinavyo tembea wale wa bajaji wakawa wanarusha mawe kwa daladala so naweza sema ni vurugu kati ya bajaj na daladala
mabadiliko katika Tanganyika yataanzia Mbeya. Huwa ninawaelewa sanaUkombozi hauna muda, siku Wala ratiba maalum
Ww jamaa hujawah kuwa na akili timamu, watu wanaandamana kwa ishu nyngn ww unakuja kudakia kwa ishu nyngn kama malaya ameona bia za bureTaarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma.
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Hizi ni mbinu zako za kuchochea maandamano, mbeya watu wako bize na mambo yao binafsi wala hawana muda wala habari za maandamano!!Taarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma.
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
wanaandamana lakiniHizi ni mbinu zako za kuchochea maandamano, mbeya watu wako bize na mambo yao binafsi wala hawana muda wala habari za maandamano!!
Wewe wa Mchamba wima haikuhusuHizi ni mbinu zako za kuchochea maandamano, mbeya watu wako bize na mambo yao binafsi wala hawana muda wala habari za maandamano!!
Twendeni sasa ivi! Waleteeeeerere!Haraka ya nini?
Maandamano yanayoripotiwa ni ya maafisa usafiri.Tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Nao ni raia wa TanzaniaMaandamano yanayoripotiwa ni ya maafisa usafiri.
Unaambiwa hawaogopi kutekwaWatu wanazidi kufurika Kambwe Mbeya
View attachment 3694534
Yes, but hawaandamani kuomboleza, unless kuna ambayo yanaendelea sehemu zingine ambazo hatujapata taarifa.Nao ni raia wa Tanzania
Ndiyo maana nakuitaga mwanaharakati uchwara ,hujui kuchuja 🚮🚮🚮Taarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma.
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Anazingua sana huyu Bibi etu ,sijui ndo umri umeendaMbeya wameandamana ni madereva bajaji .... wananchi wapo na shughuli zao kama kawaida. Mbona mnadandia ajenda bila hata kufatilia undani wa habari ?
Huu sio uanaharakati
Anazingua huyuMbeya yanahusu bajaji kukatazwa kuingia main road kwaio leo bajaj hazitembei so monie daladala zinavyo tembea wale wa bajaji wakawa wanarusha mawe kwa daladala so naweza sema ni vurugu kati ya bajaj na daladala