Napinga Watu wa Mbeya kuanza maandamano kabla ya Octoba 29, Wasubiri ratiba itolewe kwanza.

Napinga Watu wa Mbeya kuanza maandamano kabla ya Octoba 29, Wasubiri ratiba itolewe kwanza.

Mbeya wameandamana ni madereva bajaji .... wananchi wapo na shughuli zao kama kawaida. Mbona mnadandia ajenda bila hata kufatilia undani wa habari ?

Huu sio uanaharakati
Kwahiyo wa bajaji siyo wananchi wa kawaida? Wao wananchi wa kawaida wanapumua kwa kumtumia hewa Gani?
Muwe na akili wakati mwingine
 
Taarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.

Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma.

Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Toa ratiba sasa mbona unaichelewesha?
 
Back
Top Bottom