Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Maandamano tayari yamepata baraka na kibali cha serikali? Isije ikawa ile ile wahuni wakatumia huo mwanya kuvamia wajasiriamali,mama ntilie, vituo vya polisi nk maana kila mwenye akili anajua nini kilicho nyuma ya haya yote.Taarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza.
Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma.
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi