Bishweko JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 4,985 Reaction score 3,493 Oct 24, 2026 #61 Erythrocyte said: Taarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza. Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma. Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi Click to expand... Maandamano tayari yamepata baraka na kibali cha serikali? Isije ikawa ile ile wahuni wakatumia huo mwanya kuvamia wajasiriamali,mama ntilie, vituo vya polisi nk maana kila mwenye akili anajua nini kilicho nyuma ya haya yote.
Erythrocyte said: Taarifa tulizonazo kutoka Jijini Mbeya ni kwamba tayari Maandamano ya maombolezo yashaanza. Sasa tunatoa wito wa kusitishwa haraka kwa jambo hilo ili kusubiri ratiba ya Nchi nzima kutoka Dodoma. Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi Click to expand... Maandamano tayari yamepata baraka na kibali cha serikali? Isije ikawa ile ile wahuni wakatumia huo mwanya kuvamia wajasiriamali,mama ntilie, vituo vya polisi nk maana kila mwenye akili anajua nini kilicho nyuma ya haya yote.