Napingana na Dunia nzima, Kenya inaangamia!

Odinga pia ana promote kitu kibaya hasa kwa sisi waafrika .Nchi zetu ziko nyuma sana tuna umaskini ,maendeleo tumeweka kando ...hatutaweza huu ujinga wa siasa 24/7
 
Na wewe acha vijisababu, eti kuna maeneo hayaishiki, huwezi linganisha madeserts kwenu na ya uarabuni huko, na mataifa yameendelea huko, Israel, Jordan, Egypt etc. Acha sababu, ni uvivu na uzembe tu.
 
Masikini katiba nzuri ya kenya ya kutaka haki na usawa kwa wakenya ndani ya nchi yao inanajisiwa na ukabila. Kurudia uchaguz kwenye taifa lenye ukabila kama kenya ni kuliingiza taifa kwenye risk kubwa sana kwa maana ata Raila akishinda Uhuru atapinga tu. Ilipaswa busara itumike. Ona wale walimu wetu wa democracy US walivyofanya juz tu si kwamba uchaguz wao haukuwa na dosari la wamejiongeza tu.. Raila ni Mkenya na Uhuru nae ni mkenya cha maana ustawi wa wakenya basi na dosari ziangaliwe ili zisijirudie kipindi kingine ujenzi wa taifa ni jambo lisilo na nwisho ndio maana hadi leo mataifa nakubwa bado yanapambana na hari zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada Mbili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…