Odinga pia ana promote kitu kibaya hasa kwa sisi waafrika .Nchi zetu ziko nyuma sana tuna umaskini ,maendeleo tumeweka kando ...hatutaweza huu ujinga wa siasa 24/7Me nadhani unaandika haya ili kuwaaminisha wanalumumba wenzako kuwa Tz ipo sawa kukandamiza haki na uhuru ktk chaguzi. Lakini juu ya yote, kama umeikubali demokrasia, uwe tayari pia kubeba gharama zake. Ni heri kuendeleza uongozi wa kifalme kama haupo tayari kutenda haki katika uchaguzi. I support Kenyan democracy by 100% . Viva UHURU viva RAO for promoting democracy.
Sent using Jamii Forums mobile app