Napingana na Dunia nzima, Kenya inaangamia!

Napingana na Dunia nzima, Kenya inaangamia!

Me nadhani unaandika haya ili kuwaaminisha wanalumumba wenzako kuwa Tz ipo sawa kukandamiza haki na uhuru ktk chaguzi. Lakini juu ya yote, kama umeikubali demokrasia, uwe tayari pia kubeba gharama zake. Ni heri kuendeleza uongozi wa kifalme kama haupo tayari kutenda haki katika uchaguzi. I support Kenyan democracy by 100% . Viva UHURU viva RAO for promoting democracy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Odinga pia ana promote kitu kibaya hasa kwa sisi waafrika .Nchi zetu ziko nyuma sana tuna umaskini ,maendeleo tumeweka kando ...hatutaweza huu ujinga wa siasa 24/7
 
Hayo unayojaribu kusema ni vijisababu tu.eti sijui socialist, capitalist ... Madini mnayo kupindukia lakini bado mko nyuma ya kenya kiuchumi kenya hii ambayo 70% ni ukame! Asilimia 80% ya nchi inaishi ndani ya asilimia 30% ya nchi manake huko kwengine hakuishiki!
Na wewe acha vijisababu, eti kuna maeneo hayaishiki, huwezi linganisha madeserts kwenu na ya uarabuni huko, na mataifa yameendelea huko, Israel, Jordan, Egypt etc. Acha sababu, ni uvivu na uzembe tu.
 
Masikini katiba nzuri ya kenya ya kutaka haki na usawa kwa wakenya ndani ya nchi yao inanajisiwa na ukabila. Kurudia uchaguz kwenye taifa lenye ukabila kama kenya ni kuliingiza taifa kwenye risk kubwa sana kwa maana ata Raila akishinda Uhuru atapinga tu. Ilipaswa busara itumike. Ona wale walimu wetu wa democracy US walivyofanya juz tu si kwamba uchaguz wao haukuwa na dosari la wamejiongeza tu.. Raila ni Mkenya na Uhuru nae ni mkenya cha maana ustawi wa wakenya basi na dosari ziangaliwe ili zisijirudie kipindi kingine ujenzi wa taifa ni jambo lisilo na nwisho ndio maana hadi leo mataifa nakubwa bado yanapambana na hari zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo unayojaribu kusema ni vijisababu tu.eti sijui socialist, capitalist ... Madini mnayo kupindukia lakini bado mko nyuma ya kenya kiuchumi kenya hii ambayo 70% ni ukame! Asilimia 80% ya nchi inaishi ndani ya asilimia 30% ya nchi manake huko kwengine hakuishiki!
Mada Mbili tofauti
 
Back
Top Bottom