Napingana na Tundu Lissu kuwa ugumu wa maisha umesababishwa na Katiba

Hahaha pole sana najua inakuuma ila ndio hivyo hakuna wa kumzuia, unadhani Kuna mtu anayejitambua atampigia kura Samia wakati kafeli Kila kitu? hivi CCM mtawaambia Nini wananchi 2025 kwenye kampeni wakati Kila kitu mmefeli?

We unaangalia kuchafuliwa je unawaza kumiminiwa risasi ungecheka?? Huyo dikteta wenu amefariki na Lissu huyo anapeta, Mungu hapangiwi na wewe tulia hapa uone 2025 Lissu akiwashangaza.
 
  • inaonekana hujui chanzo Cha mamlaka ni wapi? Huyo Rais unayemzungumzia mamlaka ameyapata wapi? Jibu mamlaka ameyapata kutoka kwenye KATIBA na ndio maana kwenye KATIBA kuna ibara inasema Rais katika hatalazimika kufuata ushauri wa Mtu yeyote, Kwa hiyo jibu ni Katiba kwa sababu Rais ni Constitutional creature unaelewa?
  • Mamlaka yote ya kutoza Kodi, kuleta miswada ya fedha bungeni, chanzo chake ni Katiba na huyo Rais unayemzungumzia ameyapata hayo mamlaka kutoka kwenye KATIBA,
  • Hayo mamlaka ya kuteua hao Viongozi ambao hawawajibiki Kwa Wananchi Rais kayatoa wapi? Au unadhani Rais mamlaka kajitungia tu? Hayo mamlaka kayapata Kutoka kwenye KATIBA akiwa kama mkuu wa serikali.
  • Ndio maana unasikia akina Lissu wakisema kwamba Katiba imempa Rais mamlaka makubwa sana, lakini hawasemi Rais ameipa Katiba mamlaka makubwa sana? Umeelewa au
 
Kama kweli mnampenda mbona mlimtelekeza airport hadi akawa analia lia🤣🤣🤣
 
Mimi natamani hata leo hii hiyo katiba ibadilishwe na kuwepo hiyo ya Warioba halafu tuone hiyo miujiza ya katiba itakavyo ibadili Tanzania.
 
Kwa hiyo Kenya maisha ni mepesi kwa sasa baada ya kuandika katiba mpya?
 
Matatizo yote tunayopitia kama Nchi Yana mkono wa Rais kama taasisi kimfumo.

Nakubaliana na LISSU 100% kuwa Suluhu ya yote ni Katiba mpya.

Katiba mpya italeta mifumo Bora ya kuongoza Nchi na Si kumtegemea taasisi iliyo chini ya mtu mmoja.
 
Wa kurudi kwao ni huyo
Lissu asije kutuchafulia amani ya nchi yetu hapa. Yani mtu anahangaika na wazungu kutwa, wanae kawaacha nje kaja kuwasomba wapumbavu hapa. Na nyie mnaingia kingi.

Kwa hiyo we unaamini lissu anauchungu na hili taifa? Pathetic
Wewe ndiye unauchungu nalo?
 
Nenda ukachimbe ukae pembeni yake.
 
Mambo kwa miaka hii iliyoko mbeleni yaani 2023 na kwendelea, IMF ilishasema uchumi wa Dunia utakuwa mbaya kuliko miaka ya nyuma. Usikae kutegemea maisha ya mteremuko - Kitonga kadri miaka inavyoenda.
Kwanza kufuatana na ulimwengu unavyoenda, pesa za karatasi zitaondolewa kwenye mzunguko zije za Electronic Currency.
 
unapingana na lisu juu ya katiba mpya lakini unapingana na SSH ambaye amewekwa na hiyo katiba ya hovyo ukiulizwa juu ya elimu yako na uwezo wa kufikiri unajitia vidole makalioni na kunusa mwenyewe.
hovyoo
 
Anacheki odds zake zinazom favor kumpatia political capital kubwa. So anacheki kujipanua yeye ki CV ya kisiasa nadhani
 
Kumbe Lissu wa 2020 na WA Jana ni watu wawili tofauti eeh 🤣🤣🤣. Pole sana najua inakuuma mnoo, shetani wenu kazikwa Lissu huyooo anapeta.
Jione ulivyo mpuuzi. So mrema wa 1995 TLP na wa 2015 alikua yule yule? We ni punguani nakwambia
 
Kazi Kweli Kweli !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…