Tatizo ulikosea shabaha siku ya tukio Dodoma. Tungekuwa tumeshamsahau Lisu.Waseme wengine. Lile lipumbavu limeangukia pua. Soon utaliskia vyuma vimetatuka linatakiwa lirudi kutibiwa ndo imetoka. Kaja kudai hela zake mbona kasema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ulikosea shabaha siku ya tukio Dodoma. Tungekuwa tumeshamsahau Lisu.Waseme wengine. Lile lipumbavu limeangukia pua. Soon utaliskia vyuma vimetatuka linatakiwa lirudi kutibiwa ndo imetoka. Kaja kudai hela zake mbona kasema
Ubongo wako una nnya?Tatizo ulikosea shabaha siku ya tukio Dodoma. Tungekuwa tumeshamsahau Lisu.
Labda inawezekana anamaanisha katiba iliyopo hawawajibishi viongozi wanaposhindwa kudhibiti majangaMagazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.
1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?
2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?
3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?
4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?
Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.
Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Jione ulivyo mpuuzi. So mrema wa 1995 TLP na wa 2015 alikua yule yule? We ni punguani nakwambia
Soma katiba ibara ya 99-(1) utaelewa maana ya maneno ya lisu. Katiba inamruhusu Rais asababishe ugumu was maisha kwani imemruhusu kutoza chochote bila kuingiliwa na bunge.Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.
1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?
2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?
3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?
4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?
Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.
Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Ujio wa Lissu umelivuruga mno lile kundi la yule dikteta, ndio maana nyuzi kuhusu Lissu zinafunguliwa kila muda..Hii ni roho ya mtu ...naweza kusema wewe ndiye mwenye lengo baya na Taifa letu kuliko ata huyo unaemfikiria hivyo. Kwanza kauli zako zinaonyesha wewe sio mtu mwema kabisa. Ungekua mtu mwema tusingeona kauli kama hizi hapa. Kwanza MH.Lissu ni moja ya watanzania ambao wamejaribu kulifanyia Taifa ili kuliko ata wewe usie ata julikana.
Jione ulivyo mpuuzi. So mrema wa 1995 TLP na wa 2015 alikua yule yule? We ni punguani nakwambia
umeeleza safi kwani tusipokua makini katiba itawanufaidha wanasiasa tu kama ilivyo kenya wakati wa chaguzi tu ndo katiba itaonekana imefanya kaziIshu sio katiba mpya tu, ishu ni usimamizi wa hio katiba. Mambo yakiendelea kama yalivyo hata zikija version mpya za katiba kila mwaka hatufiki popote.
Katiba iwe inasimamiwa na vyombo vya dola atakaekiuka anakula umeme chap.
Hao hao wavuta bangi na wasio na ajira ndio mtaji wa Lissu 2025.....Wavuta bangi hao kwenye masanduku ya kura hamuwaoni
Nipo nimekaa paleeeee. Haingii ikulu hata amtoe kafara mfalme wa uingerezaHao hao wavuta bangi na wasio na ajira ndio mtaji wa Lissu 2025.....
We mpumbavu hakuna familia inayotenga sukari mezani kama mlo ,sukari ni kiungo kama ilivyo chumvi.Acha uongo wee mkolomije, mchele gan unapata mjin kwa sh 900 mpaka 1200? Kwann usitoe na reference kipind cha awamu ya tano kuhusu bei ya sukar? Pia issue ya katiba mpya ime contain mambo mengi ya kiuchumi, siasa, na mustakabali mzm wa Taifa letu. Hivyo nyie wakolomije ni ngumu sana kuelewa umuhim wa katiba mpya.
Katiba mpya inaletanga mvua?, Au inalima?,,,Unajua hata maana ya katiba kweli,?
Akili kubwa imetumika hapa. Ningekuwa karibu nawe, ningekununulia makange ya Ngamia- kuhusu tozo chanzo chake ni Katiba kwa sababu tozo ni Kodi na Katiba imesema kuwa Hakuna Kodi itakayotozwa hadi iwepo sheria ya kusimamia hiyo Kodi, na pia Katiba imesema bunge halitajadili muswada wowote wa kutoza Kodi hadi Rais aamue hivyo kupitia waziri wa fedha, hivyo basi tozo zote zimetokana na Katiba hii ya 1977, (tozo za haki na zisizo za haki)
-kuhusu ruzuku na kushuka kwa uzalishaji ni Kwa sababu muundo WA serikali ni mbovu, maeneo yenye uzalishaji yalitakiwa yajengewe miundombinu ya kufikika, na pia hayo maeneo/ mikoa ilitakiwa ipewe mamlaka ya kujipangia na kujiamulia yenyewe kitu ambacho hakiwezekani kwa Katiba hii.
- kuhusu kukatika umeme pia Katiba imechangia, kwa sababu Viongozi wamekuwa sio wawajibikaji, but wanawajibika kwa Rais tu na sio kwa Wananchi
- kuhusu kufungua mipaka na wageni kuingia, pia Katiba inachangia kwa sababu Viongozi hawawajibiki Kwa Wananchi, wanajua kwa udhaifu wa Katiba wataiba kura na wataendelea kuongoza hata kama kilo Moja ya Michele iwe 7000/-,
Jamaa yake mbowe anakuja kutulewa konyagi jukwaani chadema banaKama mtu anashindwa kumuheshimu mke wake ndo atakuja kuwaheshimu watanzania na shida zenu? Lissu ana busiana na mzungu wakati ana mke. Ela za matibabu anaenda kugongea mimama ya kizungu
View attachment 2496093
Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Waomani,Wazungu,,Wasomali na Wahindi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli? au Jakaya, au Mwinyi?