Napitia wakati mgumu

Pm yako umefunga

Tafuta bangili ya Shaba vaa mkononi au hata pete ya Shaba vaa mkononi kwenye kidole na inafaa uvae masaa 12 ya jua yaan mchana tu katika utendaji wako wa kazi yaan kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 12 jioni vua, utanishukuru

View attachment 3202896
Inasaidia nini??
 
Kinachosikitisha hata jina la Merry ulidanganywa
 
Malkia nana!

Pole,maziwa ya kuchemsha asubuhi na jioni,mboga za majani kama mlo mkuu na wanga kidogo,

Ukipata chai pia ya kahawa bila kuweka sukari asubuhi na jioni!kahawa itasaidia damu kwenda Kasi kwenye mishipa na kuzibua ganzi kwenye viungo!

Epuka nyama na sukari nyingi plus chemicals!

Maombi binafsi hasa usiku was manane saa Saba nane au saa Tisa usiku ,just a simple prayer usi complicate!!
Wabaya wameset pin code wanaamini huwezi decode code hizo,utafunguliwa pole pole!

Wanaofanyiwa ubaya kama wako Huwa no wale wenye uwezo mkubwa na nyota kubwa ya kuwa wakubwa maishani!!
 
Kwanza pole sana kwa madhila unayopitia.Nionavyo mimi kuhusu madhila yako ni:wazungukwa na wanaoamini katika imani isiyoshiba ambao ndiyo wamebeba hatima yako.Kweli uchukuliwe kutoka Dar uletwe mikoani kama Kigoma ama nchi jirani kwa wataalamu waangalie vipimo katika maabara ya giza washindwe kuona hilo fumbo?Nitafute kwa namba hii ili nikuunganishe na mtaalam uangaliwe hapohapo.0754823145.Gharama utazimudu mwenyewe bila kushirikisha watu kwani si kubwa.Hatari ya kuishi hivyo ni kuyaweka maisha rehani
 
2. SOLUTION 1, sasa amua kuwa mwinjilisti sasa anza kuhubiri habari za MUNGU ili watu waokoke. Nunua spika yako moja anza kuhubiri barabarani kokote kule hadi nyumbani kwenu. Njoo lete mrejesho.
 
Mpokee Bwana Yesu kama mwokozi wa maisha yako binafsi. Ubatizwe katika maji mengi kwa jina la Bwana Yesu Kristo umpe maisha yako utabadilika na tatizo lako litakwish
 
Umetumia tiba ya mkojo wa Ahsubui.

Do it at least 1-7days

Naamini utapata goodfeedback

Ukipona najua utakuwa shuhuda mkubwa wa hii tiba.

Mimi nilikuwa na hali Kama hiyo ikiwemo kuumwa na kichwa kila siku Ila nimepona.
Ushauri wa kijinga Sana huu, je unafahamu contents zilizo kwenye mkojo, unafahamu kwanini mkojo unatakiwa kutolewa mwilini?
 
Pole sana!
Uliwahi kwenda taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete?
 
Nenda kwa Mwamposa
 
Sio lazima awe mroma Ile ikisaliwa Kwa Imani na mtu yeyote inafanya kaz
 
Samahani unaweza kuniambia hospitali ambayo ulipata vipimo vya CT scan.na hawakuona ugonjwa wowote katika mwili wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…