Napokea mshahari ngazi ya TGS D naishi kijijini naona fedha hiyo hainikidhi kabisa mahitaji yangu.

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Sasa najiuliza nyinyi wa mjini mnaopokea mshahara ngazi hii mnawezaje na maisha yalivyo sasahivi?
 
Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa niombe sekretarieti ya ajira nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi nimeomba kazi fulani sekretarieti ya ajira? Kwa the shu yako inategemea uko mkoa, kanda au sehemu gani kulingana na uchumi wa eneo husika mfano mtu alieajiriwa katikati mwa Dar na alieajiriwa Arusha maisha ni magumu lakini alieajiriwa sehemu za nyanda za juu kusini maisha ni poa vyakula vingi n.k.
 
Dah mimi sina ujuzi apo wa kukupa ushauri maana mimi si mwajiriwa wa serikalini ila nimeajiriwa sekta binafsi na ngazi yangu ya mshahara unaendana na mtumishi anaepokea tgs d
Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa niombe sekretarieti ya ajira nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi nimeomba kazi fulani sekretarieti ya ajira? Kwa the shu yako inategemea uko mkoa, kanda au sehemu gani kulingana na uchumi wa eneo husika mfano mtu alieajiriwa katikati mwa Dar na alieajiriwa Arusha maisha ni magumu lakini alieajiriwa sehemu za nyanda za juu kusini maisha ni poa vyakula vingi n.k.
 
Walinzi tunalipwa elfu 90 mpaka laki na nusu Kwa mwezi na life linasonga kama kawa.
 
Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa niombe sekretarieti ya ajira nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi nimeomba kazi fulani sekretarieti ya ajira? Kwa the shu yako inategemea uko mkoa, kanda au sehemu gani kulingana na uchumi wa eneo husika mfano mtu alieajiriwa katikati mwa Dar na alieajiriwa Arusha maisha ni magumu lakini alieajiriwa sehemu za nyanda za juu kusini maisha ni poa vyakula vingi n.k.
Watakuingiza kwenye database moja kwa moja kisha zikitokea nafasi zinazohusu taaluma yako wanakupangia.
 
Huku tunaishi kwa timing, yaani tega nikutege atakayezubaa unaamka naye.
Hawa wanasiasa wahuni sana.
Wanajitungia misheria ya kujipatia mifwedha ya haramu huku sisi tukiishi kama digidigi
 
Back
Top Bottom