Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa niombe sekretarieti ya ajira nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi nimeomba kazi fulani sekretarieti ya ajira? Kwa the shu yako inategemea uko mkoa, kanda au sehemu gani kulingana na uchumi wa eneo husika mfano mtu alieajiriwa katikati mwa Dar na alieajiriwa Arusha maisha ni magumu lakini alieajiriwa sehemu za nyanda za juu kusini maisha ni poa vyakula vingi n.k.