Napokea mshahari ngazi ya TGS D naishi kijijini naona fedha hiyo hainikidhi kabisa mahitaji yangu.

Napokea mshahari ngazi ya TGS D naishi kijijini naona fedha hiyo hainikidhi kabisa mahitaji yangu.

Nimeshangaa sana kuna kampuni moja iliita wafanyakazi ngazi tofauti kuanzia udereva mpaka project manager ila mshahara wa juu ulikuwa 700k na bado nyomi kama lote na vyeti vyao kabisa
Dah, nchi ngumu sana hii
 
Wenzako tuko kitaa bila ajira ila maisha yanasonga na hatulalamiki..

achia ngazi bibi mchuma uwe wazi madereva tupooo
 
Watakuingiza kwenye database moja kwa moja kisha zikitokea nafasi zinazohusu taaluma yako wanakupangia.
mbinu hii inatumikaje nami niifanye hela ipo
 
Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa niombe sekretarieti ya ajira nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi nimeomba kazi fulani sekretarieti ya ajira? Kwa the shu yako inategemea uko mkoa, kanda au sehemu gani kulingana na uchumi wa eneo husika mfano mtu alieajiriwa katikati mwa Dar na alieajiriwa Arusha maisha ni magumu lakini alieajiriwa sehemu za nyanda za juu kusini maisha ni poa vyakula vingi n.k.
nimekupm inbox yako naomba tuwasiliane 0744 31 12 47
 
Lini mshahara uliwahi kukidhi mahitaji ya mtumishi wa serikali?
 
Toa ulicho nacho ili uongezewe zaidi ya ulichotoa, hahaaa ahhhaa hayo ndo maisha yetu ya Dar
 
Back
Top Bottom