Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Umeiona picha ya mollel?Imefanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeiona picha ya mollel?Imefanyaje?
Naposema Waarabu wana roho nzuri, wana imani, namaanisha kweli!
Mara nyingi huwa nasema hakuna jamii hapa duniani watu wake wakarimu, wana imani na roho nzuri kama waarabu, namaanisha kweli. Wengi wao wamejaaliwa haswaa
Hizi clip zimetrend mitandao mingi, kwa wale wabaguzi, wenye chuki dhidi ya waarabu, pia ni wadini clip hizi ziwafikie huko mlipo, au tayari mmeshaziona, mmekausha sio!, poleni sana, sijui mtaonyesha wapi sura zenu, sijui mtakuja na neno gani kwa Sol de Mayo, kiboko ya wenye chuki!
View: https://www.instagram.com/p/C0WMCbDKsMv/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
View: https://www.instagram.com/p/C0Z3U4Ar53x/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Huu ni mfano tu kwa jamii ya waarabu, ila kuna mengi mazuri ya kuwapongeza hawa ndugu zetu waarabu. Mungu awabariki sana, natumaini tutaiga mienendo/mifano yao
Wale mnaotesa mahouse girl naomba mnisikilize kwa makini! igeni kutoka kwa hawa ndugu zetu waarabu, ishini na wafanyakazi kwa wema, na sio kumnyanyasa nakumpiga na isitoshe mshahara mnawapa kiduchu, sio poa aise, na Mwenyezi Mungu hapendi myafanyayo.
Kwamba francis naye si mwema?Mtu mwenye tabia ya kufukua mitaro hawezi kuwa mwema