Napoteza hamu ya mahusiano muda mfupi baada ya kuyaanzisha. Je, hii ni hali ya kawaida?

Hakuna wanaume anakua na hamu na mahusiano mkuu , hamu inakuja tu pale tunapokuwa na nyege , kama unataka usipoteze hamu ya mahusiano ,hakikisha unakua na nyege 24hr.
 
Hakuna wanaume anakua na hamu na mahusiano mkuu , hamu inakuja tu pale tunapokuwa na nyege , kama unataka usipoteze hamu ya mahusiano ,hakikisha unakua na nyege 24hr.
Hapa nikutafuta matatizo mengine, kuwa na g(e)nye 24/7 haiwezekani.
 
Wala si nyeto na pornography kama ulivyodhani. Ninge"mention" mapema kwakuwa sipendi kuomba msaada wa mawazo wakati nina"provide" inefficient info
 
Inawezekana mkuu kula vizur fanya mazoezi , usiwe na stress , nyege zipo akilini tu ,ukiwa na aman zinakuwepo tu.
Sijui lakini, kwa shughuli ninayofanya roughly nipp bize for almost a day, genye kuzipata labda nikiwa idle ambapo inakuwa ni usiku na nimechoka na option inabaki moja tu ambayo ni kulala kuondoa uchovu
 
Bado hujapenda kwa asilimia zote,wote unawatamani tu
Labda nisubiri, nawapenda n'naokutana nao ukiachana ambao nawatamani lakini mwisho wa siku hakuna interest yoyote ambayo ninakuwa nayo.
 
Hivyo ndio jinsi wanaume walivyo...
 
Usije kuwa una jini mahaba ndio mana unajisikia iyo hali embu fatilia utaweza jikuta umri wa kuoa ukajikuta bado kuoa mwisho wa siku uzee ukakunyemelea
Jini mahaba tena? Kwakuwa siwezi ku"prove" kwamba sina jini hilo au la, kwasasa ungenisaidia ushauri wa aina nyingine
 
Sijui lakini, kwa shughuli ninayofanya roughly nipp bize for almost a day, genye kuzipata labda nikiwa idle ambapo inakuwa ni usiku na nimechoka na option inabaki moja tu ambayo ni kulala kuondoa uchovu
Tutafute pesa mkuu , tukishapata pesa nyege zitakuja tu
 
Itakuwa shetwani wako hana hisia!!!!,muombe mungu sana kijana dalili mbaya hizooo,,,kemea kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…