Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake tuNijibu kwanza hili swali,je,unakinai haraka wanawake tu au na mambo mengine?
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
😂[emoji4][emoji3578]View attachment 2519376
Hapa nikutafuta matatizo mengine, kuwa na g(e)nye 24/7 haiwezekani.Hakuna wanaume anakua na hamu na mahusiano mkuu , hamu inakuja tu pale tunapokuwa na nyege , kama unataka usipoteze hamu ya mahusiano ,hakikisha unakua na nyege 24hr.
do you happen to know any scientific proof about this?Ilo nalo neno na pia uvutaji wa bangi unachangia iyo hali pia
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Wala si nyeto na pornography kama ulivyodhani. Ninge"mention" mapema kwakuwa sipendi kuomba msaada wa mawazo wakati nina"provide" inefficient infoNyeto, narudia tena PUNYETO na kuangalia Porn.
Mna Low testosterone kwa sababu ya Nyeto, hizo zingine ni excuses tu mnajipa.
Sishauri kupoteza mda kwa Mwanamke ila kama Mwanaume ku-loose interest ni TATIZO.
Mwanaume unatakiwa ku-Control hio hali ya kuvutiwa na Mwanamke na sio uwe huvutiwi nao.(Yaani Unatakiwa wawe wanakuvutia ila wewe ndio unaji control) na sio uwe unapoteza interest automatically.
Nasisitiza Acheni Nyeto vijana.
Be a Man.
Inawezekana mkuu kula vizur fanya mazoezi , usiwe na stress , nyege zipo akilini tu ,ukiwa na aman zinakuwepo tu.Hapa nikutafuta matatizo mengine, kuwa na g(e)nye 24/7 haiwezekani.
Sijui lakini, kwa shughuli ninayofanya roughly nipp bize for almost a day, genye kuzipata labda nikiwa idle ambapo inakuwa ni usiku na nimechoka na option inabaki moja tu ambayo ni kulala kuondoa uchovuInawezekana mkuu kula vizur fanya mazoezi , usiwe na stress , nyege zipo akilini tu ,ukiwa na aman zinakuwepo tu.
Jini mahaba tena? Kwakuwa siwezi ku"prove" kwamba sina jini hilo au la, kwasasa ungenisaidia ushauri wa aina nyingineUsije kuwa una jini mahaba ndio mana unajisikia iyo hali embu fatilia utaweza jikuta umri wa kuoa ukajikuta bado kuoa mwisho wa siku uzee ukakunyemelea
Tutafute pesa mkuu , tukishapata pesa nyege zitakuja tuSijui lakini, kwa shughuli ninayofanya roughly nipp bize for almost a day, genye kuzipata labda nikiwa idle ambapo inakuwa ni usiku na nimechoka na option inabaki moja tu ambayo ni kulala kuondoa uchovu
C' mon, you are better than this[emoji4][emoji3578]View attachment 2519376
Sawa, at least nimetoa hofu. Nilijua uwenda afya ya akili inazorota (kisaikolojia)
Itakuwa shetwani wako hana hisia!!!!,muombe mungu sana kijana dalili mbaya hizooo,,,kemea kabisaaaHabari kwa wanajukwaa, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Kwa wenzetu ambao wanapitia changamoto za kiafya nawatakia kupona au kupata ahueni kwa haraka.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana wa umri wa kuelekea 30's kwakuwa sasa niko kwenye 20's mwisho huko. Sikujua kwamba hii haikuwa hali ya kawaida ila baada ya muda naona bado inanitatiza, kila ninapoanzisha mahusiano huwa nakuwa na interest ambayo inapotea hata baada ya wiki kuisha. Kuna ile hali najikuta tu nimechoka kutafutana na gf wangu mpya.
After three weeks naweza nikapotezea mazima kama hatukuwa na mahusiano kabisa, siwezi kujilazimisha kutuma meseji au kupiga simu na sababu za msingi nakuwa sina, inakuwa kama akili imepotea mazima kumhusu huyo gf. Ila nakuwa sijamuacha mazima ila interest naye inapotea.
View attachment 2518347
Commitment yangu kwenye mahusiano haijawahi kuwa strong hata kwa wanawake ambao ninakuwa nimewapenda toka mwanzo tukiachana na wale ambao nakuwa nao kutokana na LUST.
View attachment 2518346
Sijui shida inakuwa ni nini ila naona tatizo limekuwa kubwa maana najikuta tu nime call off mahusiano bila sababu na naishia kuambiwa najitengenezea karma ambayo itanikumba mbele which siogopi kwakuwa siamini kwenye mambo kama hayo.
Any thoughts pals?