Napoteza pesa bila kuelewa



Hizo ni tabia tu za kupenda kukopa kopa mkuu..hayo mapepo mnayasingizia jaman khaa!
 
Mimi pia ni wakala wa MPESA na haya unayosema huwa yanatokea sana sema mimi huwa sipati hasara ya hela nyingi,, unaeza kuta jioni napiga hesabu naona elfu 30 haipo napitia sms zote zipo sawa ila sioni,,mpaka muda mwingine nawapia voda ila nao hakunaga la maana wanalonambia,,,hadi leo sijajua hela huwa zinapoteaje na ninajitahidi kuwa makini sanaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja,,,hiyo biashara kuna MTU huwa mpokezana kukaa kwenye mpesa????,,,mbili hiyo biashara pesa ya matumizi nyumbani unatoa apo apo???,,,,tatu una kuwa makini kwenye kuandika figure mfano MTU anataka kutuma laki moja na elfu Tisa(109000/=) unakuta MTU anatuma laki moja na elfu tisini(190,000/=)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu nenda kwenye maomba kuna dalili wamekuroga upate hasara mtafute pastor Katunzi eagt city center mtoni kwa aziz ally kituo cha stend ya shamba au kwa mMa mgaya reli inapita juu hapo kuna kanisa chuma ulete anakimbia kwa maombi ni bure maombi ndugu mguu wako tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumdanganya weye.Mapepo ndiyo Nini. Akatafute watu wa mahesabu wamfundidhe,hesabu haidanganyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu,mambo haya yanawakumba sana hata Tellers wa bank,ni mambo ya mauzauza,wanapoteza pesa na kujikuta wana shoti zisizoisha kila wakati,matokeo yake wanajikuta pesa zao za mishahara zinaishia kulipa hizo shoti.Cha muhimu mkuu fanya maombi ya kuombea eneo lako la kazi,vifaa vyako,line zako,simu,kibanda n.k.kinyume cha hapo hutakaa ufanikiwe kwenye biashara zako,ni damu ya Yesu tu ndio inakuhusu ili kuweza kuvunja hizo nguvu za giza....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…