Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Nina miaka mitatu kwenye frame, ni nyumbani, frame niliijenga mwenyewe, ni yangu mkuu, kuna bidhaa nyingine nafanya hapa, mojawapo ndiyo M-pesa, ndiyo bidhaa nyingine sipati hasara, ni kwenye mpesa tu ndo zinapotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni fremu yako na pesa zinazopotea ni kutoka M-Pesa pekee, basi ondoa kabisa wazo kuhusu chuma ulete hawawezi kubagua kiasi hicho.... ni huenda unapigwa kimtandao au pesa za mpesa kuna muda unazitupia kwenye kapu la bidhaa zingine.