Napoteza pesa bila kuelewa

Napoteza pesa bila kuelewa

Nina miaka mitatu kwenye frame, ni nyumbani, frame niliijenga mwenyewe, ni yangu mkuu, kuna bidhaa nyingine nafanya hapa, mojawapo ndiyo M-pesa, ndiyo bidhaa nyingine sipati hasara, ni kwenye mpesa tu ndo zinapotea

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ni fremu yako na pesa zinazopotea ni kutoka M-Pesa pekee, basi ondoa kabisa wazo kuhusu chuma ulete hawawezi kubagua kiasi hicho.... ni huenda unapigwa kimtandao au pesa za mpesa kuna muda unazitupia kwenye kapu la bidhaa zingine.
 
Wanaibaje? Ni mbinu gani wanatumia?
hakikisha miamala yote unayo halafu nenda voda makao makuu!!!! KAMA MIAAMALA HUNA NENDA NA LINE YAKO WAO LAZIMA WANA MIAMALA.......... Wafanyakazi wa vodacom hasa aliyekusajilia hiyo line wanajua tatizo na wao ndio wanakuibia....... KOMAA NAO MAANA HAKUNA NAMNA ZAIDI YA WAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hizi imani potofu haziachi hi nchi salama kabisa tutabaki hivo hivo.......Africa bado sanaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
unaonakana huamini haya mambo bt siku ukikutana nayo ndo utajua binafsi nipo soko fulan hv napga miradi bt wabongo ni noma sometime wanatuma hadi nyoka kuja kuiba pesa kwenye hv viduka so ukiwa huna lolote hapo dukan yan humwamini mungu wala mganga basi hapo ni mwendo wa vipgo tu kama mtoa mada hapo juu.
 
unaonakana huamini haya mambo bt siku ukikutana nayo ndo utajua binafsi nipo soko fulan hv napga miradi bt wabongo ni noma sometime wanatuma hadi nyoka kuja kuiba pesa kwenye hv viduka so ukiwa huna lolote hapo dukan yan humwamini mungu wala mganga basi hapo ni mwendo wa vipgo tu kama mtoa mada hapo juu.
Bado yuko secondary huyo,cku akimaliza akaja duniani kutafuta vya kwake huo upuuzi wake ataacha
 
Kuwa makini sana kwenye kuandika namba,kua makini sana na wateja wanaotaka uwaekee 1000 au 2000,mara nyingi loss huipata eneo hili hasa kama unatumia simu ndogo za tecno zenye kujiongeza 0 bila wewe kutaka.

Hakikisha simu ya miamala ni ki nokia OG acha hvyo vtecno namba zimeshkana unabonyeza 6 inatokea mpk 9,kinachokupata wewe kilikua kinampata msaidizi wangu.

ilikua kila siku lazima apoteze teni au li twenty yani mteja anakuja anamwambia niwekee 1000, wewe unawenge lako unaweka 10000,anaenda anarudi tena badae hvyo hvyo.

mwisho wa wiki Loss inakuja tamu sana tu kama hiyo yako,Nilichofanya nilikua kila akikarbia kufunga namwambia asitoke mpk niende,nikifika napga hesabu nakuta hamna 20000 namuuliza anajiuma uma.

Nikam badilishia simu from that day sijaona loss mpk na kesho,Amini mkuu hyo loss unaitengeneza wewe mwenyewe bila kujua,hasa kama wateja wako n bandika bandua asee hyo loss unayo sana.
 
Hamna chuma ulete wala babu chuma ulete,hao chuma ulete mbona hawaend bank huko kusomba hela Hapo n wewe mwenye unatengeneza loss bila kujitambua.

Kua makini sana na miamala yako hizo sifuri unazoziongeza ndio zinaku cost,nakuhakikishia loss unaipata kwa wateja wa vihela vidogo,mteja wa buku unamuekea 10000 mteja wa 10 unamuekea 100000 hiyo hakika nakuhakikishia Loss yako ndio inapotokea wala hamna IT mwizi wakuiba hela zako kiasi hicho.
 
Kwenye simu zako tumia hizi simu ni salama sana kwako angalia batani zake zilivyoachana yani ukibonyeza mbili n mbili ukibonyeza 1 ni moja kila namba imekaa yenyewe.

Nokia_1280_L_1.jpg
nokia-106-2018-0.jpg



Simu hizo juu ni salama sana kwa kufanyia miamala maana hazina kuongeza sifuri,tatizo lako wewe unalipata kwenye simu kama hizi hapa chini ambazo batani zake zimeungana hizi simu ni HATARI kwa afya ya hela yako unatakiwa unapoandika ukodoe macho haswa.

housing-for-nokia-1202-violet-maxbhi-2-5-1.jpg
Nokia_1202_L_1.jpg


Hizo simu Juu ni Hatari kabisatena bora hizo nokia usiombe ukutane aina hizo za itel na tecno nddio zitakuongezea sifuri hadi akili ikukae sawa.
 
Back
Top Bottom