Nina miaka mitatu kwenye frame, ni nyumbani, frame niliijenga mwenyewe, ni yangu mkuu, kuna bidhaa nyingine nafanya hapa, mojawapo ndiyo M-pesa, ndiyo bidhaa nyingine sipati hasara, ni kwenye mpesa tu ndo zinapotea
Sent using Jamii Forums mobile app
jitahidi kila jioni unapofunga ofisi ufunge na mahesabu pia,ujue kiasi ulicho anza nacho asubuhi ndio icho unachofunga nacho.
alafu pia jaribu kutenganisha ela za noti na zile za sarafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafanyaje kazi hii chuma ulete mkuu, ni mtu mmoja ananichezea au ni kikundi cha watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishaamini ushirikina kwenye biashara unajichimbia kashimo kakubwa kalikojishindilia chini zaidi kama kaburi vile
Hivi jaman hawa chuma ulete kwann hawaend banks kuchukua pesa mpaka waje kwenye biashara yako ya mia mbili mbili????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hizi imani potofu haziachi hi nchi salama kabisa tutabaki hivo hivo.......Africa bado sanaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupeni iyo technologia ya CHUMA ULETE twende tukachukue pesa Bank.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakikisha miamala yote unayo halafu nenda voda makao makuu!!!! KAMA MIAAMALA HUNA NENDA NA LINE YAKO WAO LAZIMA WANA MIAMALA.......... Wafanyakazi wa vodacom hasa aliyekusajilia hiyo line wanajua tatizo na wao ndio wanakuibia....... KOMAA NAO MAANA HAKUNA NAMNA ZAIDI YA WAO.
unaonakana huamini haya mambo bt siku ukikutana nayo ndo utajua binafsi nipo soko fulan hv napga miradi bt wabongo ni noma sometime wanatuma hadi nyoka kuja kuiba pesa kwenye hv viduka so ukiwa huna lolote hapo dukan yan humwamini mungu wala mganga basi hapo ni mwendo wa vipgo tu kama mtoa mada hapo juu.Ila hizi imani potofu haziachi hi nchi salama kabisa tutabaki hivo hivo.......Africa bado sanaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi jaman hawa chuma ulete kwann hawaend banks kuchukua pesa mpaka waje kwenye biashara yako ya mia mbili mbili????
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado yuko secondary huyo,cku akimaliza akaja duniani kutafuta vya kwake huo upuuzi wake ataachaunaonakana huamini haya mambo bt siku ukikutana nayo ndo utajua binafsi nipo soko fulan hv napga miradi bt wabongo ni noma sometime wanatuma hadi nyoka kuja kuiba pesa kwenye hv viduka so ukiwa huna lolote hapo dukan yan humwamini mungu wala mganga basi hapo ni mwendo wa vipgo tu kama mtoa mada hapo juu.
Kazi za kushika pesa ni vigumu sana kuzuia loss! Lakn unaipunguza kwa haya:
1.Funga hesabu Kila siku
2. Rekodi Kila muamala unaofanyika
3.Hyo chuma ulete sina iman kama ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu duniani uje ujionee teknolojia ya wataalamu wa asili.Kazi za kushika pesa ni vigumu sana kuzuia loss! Lakn unaipunguza kwa haya:
1.Funga hesabu Kila siku
2. Rekodi Kila muamala unaofanyika
3.Hyo chuma ulete sina iman kama ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapa kazi moja tuu nyie wataalamu wa asili mtutengenezee dawa ya ukimwi.