Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

Leysha

Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
13
Reaction score
5
Salaam wana JF.

Mimi Ni Muajiriwa katika kampuni fulani, kwa Muda wangu wa ziada najishughulisha na shughuli za Kuprint na Kudarizi T shirts Mashati N.K. Kwa sasa nafanyia shughuli zangu nyumbani tu na nna pokea Oda ndogo na kubwa za Kazi.

Nna mashine za kisasa za Kuprint na Kudarizi kwa kutumia Computer. Nikukaribishe wewe unayehitaji kuprint au kudarizi Uniforms chache au nyingi kwa ajili ya Kampuni yako, Shule, Biashara au Taasisi yoyote Ile.

Pia nna Design na Kuprint Business Cards, Natengeneza Vitambulisho Vya Kisasa vya PVC na Kuprint Vibao vya Milangoni.

Unaweza Wasiliana nami kwa Namba za Simu Hizi 0712 750 250 au 0752 981 380. Kuanzia Saa 11 Jioni huwa nakuwa Free sana. Napatikana Tandika, Dar Es Salaam.

pvc2.jpg
pvc.jpg
juzi.jpg
IMG_20170806_123256.jpg
 
Kazi bado zinaendelea... karibuni nyoote.
 
Kazi bado zinaendelea... karibuni nyoote.
 
Mku ongera Sana. Mimi nipo Mkoa hizi Mashine upatikanaji na bei inakuje kwami huku ninaweza kupiga kazi za shule.

Msaada wako ni ajira kwangu mku.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mku ongera Sana. Mimi nipo Mkoa hizi Mashine upatikanaji na bei inakuje kwami huku ninaweza kupiga kazi za shule.

Msaada wako ni ajira kwangu mku.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante, Upo Mkoa Gani? Mimi Baadhi ya Vitu niliagiza nje, nilinunua Amazon almost nusu ya vitu ila Printers hasa Hizi Epson nilinunua hapa hapa DSM kariakoo. Karibu sana kwenye Biashara Hizi
 
Bei gani kwa tshirt
Inategemea, kama ni screen printing, heatpressing au Kudarizi. Bei hutegemea na Ukubwa wa Art work yako, Design unayotaka ifanyiwe kazi na Idadi (ya Nguo/Kofia/Vikombe n.k)
 
Inategemea, kama ni screen printing, heatpressing au Kudarizi. Bei hutegemea na Ukubwa wa Art work yako, Design unayotaka ifanyiwe kazi na Idadi (ya Nguo/Kofia/Vikombe n.k)
Mfano heatpressing ya logo ya jf yenye maneno jamiiforums kwa chini kwa tshirt moja bei gani?
 
Kazi bado zinaendelea... karibuni nyoote.
Uko wapi... Dar au mkoa?

I am your Professional Logo Designer :: Reload your Image. Get a Logo :: +255 688 999 006 (calls, texts & whatsapp)
 
Uko wapi... Dar au mkoa?

I am your Professional Logo Designer :: Reload your Image. Get a Logo :: +255 688 999 006 (calls, texts & whatsapp)
Nipo Dar Mkuu, ila Moro pia tuna kijitawi. Ila Naimani Popote ndani ya Tanzania Kazi Zinafanyika.
 
Mfano heatpressing ya logo ya jf yenye maneno jamiiforums kwa chini kwa tshirt moja bei gani?
Depending na Ukubwa wake, Huanzia Tsh elfu 2, bei itaongozekea au kupungua kulingana na Idadi yake na Ukubwa wa Size yake. Karibu sana Mkuu
 
Back
Top Bottom