my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
jpili narud tz lkizo. nna furaha siamin km narud tz, nafurah kuwaona rafk zngulkn skai sna dar ntakaa siku 3 tu ksha naenda mwanza kwa bb. et asa ivi uko barid au joto? niwaletee zawad gan?
uku ni summer sjui tz ni barid au jotoMiez miwili tu ushasahau hali ya hewa ya bongo? We ndo 2nd hasheem thabit
naangaliaje?Hiyo furaha na kutokuamini ulikuwa umefungwa huko ulipo kwa sasa na umepata parole! Angalia weather online.
kizibao na makubazi ndo nn? sjaelewaMimi niletee kizibao, kanzu na msuli.....
Oooohooo nilitaka kusahau na makubazi
mi sna vyeti sjamalizaUsisahaui vyetii vyakoo origin bed..vilefekitulichoma ulipopanda ndege
Simu yako haina Baadhi ya herufi??jpili narud tz lkizo. nna furaha siamin km narud tz, nafurah kuwaona rafk zngulkn skai sna dar ntakaa siku 3 tu ksha naenda mwanza kwa bb. et asa ivi uko barid au joto? niwaletee zawad gan?
Hivi iringa siku hizi kunaitwa tanzania??we njoo tu baridi bado vilevile ila magari yashakuwa mengi,hakuna swaga zebra tena kama zamani......ni kama huko dar tu.Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
Be...ndauli be!kizibao na makubazi ndo nn? sjaelewa
Yuko dar kazi ya ubek 3 imekwisha,ashakuwa mkubwa na ni hatari kwa ndoa ya watu....anataka kurudi iringa,hapo anaulizia usafiri mzuri kijanjajanja...Miez miwili tu ushasahau hali ya hewa ya bongo? We ndo 2nd hasheem thabit
We kiiila kitu huelewi. Weather online.... hola. Kizibao, kanzu na kibarghashea hola! Sasa mimi nikisema uje na talawanda nyingi utuuzie utasemaje?kizibao na makubazi ndo nn? sjaelewa
Hahaa mkuu ata mimi umeniacha apo "TALAWANDA"We kiiila kitu huelewi. Weather online.... hola. Kizibao, kanzu na kibarghashea hola! Sasa mimi nikisema uje na talawanda nyingi utuuzie utasemaje?
Toa hata "gwala" nikutafsirie mkuu.Hahaa mkuu ata mimi umeniacha apo "TALAWANDA"
Hahaa sawa mkuu iyo hapo [emoji109]Toa hata "gwala" nikutafsirie mkuu.
Huyu yupo gongolamboto ila anatafuta akina Madame B ili afume k za bure masikini dada zangu wa JFHiyo furaha na kutokuamini ulikuwa umefungwa huko ulipo kwa sasa na umepata parole! Angalia weather online.