my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?