Narudi Tanzania

Narudi Tanzania

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
 
jpili narud tz lkizo. nna furaha siamin km narud tz, nafurah kuwaona rafk zngulkn skai sna dar ntakaa siku 3 tu ksha naenda mwanza kwa bb. et asa ivi uko barid au joto? niwaletee zawad gan?

Hiyo furaha na kutokuamini ulikuwa umefungwa huko ulipo kwa sasa na umepata parole! Angalia weather online.
 
Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
Hivi iringa siku hizi kunaitwa tanzania??we njoo tu baridi bado vilevile ila magari yashakuwa mengi,hakuna swaga zebra tena kama zamani......ni kama huko dar tu.
 
Miez miwili tu ushasahau hali ya hewa ya bongo? We ndo 2nd hasheem thabit
Yuko dar kazi ya ubek 3 imekwisha,ashakuwa mkubwa na ni hatari kwa ndoa ya watu....anataka kurudi iringa,hapo anaulizia usafiri mzuri kijanjajanja...
 
Back
Top Bottom