Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

Dumejr

Member
Joined
Feb 16, 2021
Posts
71
Reaction score
70
Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata.

Wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa mwanamke awe na elimu yeyote kabila lolote umri wowote nitapenda mwanamke nianzae nae chini mpk kujuu hapo nitaamini alikuja kwa ajili yangu umri.

Nina miaka 22 pia nitapendelea wa dar japokuwa mikoani pia mnakaribishwa mm ninachohitaji ni userious wa mtu basi kama kwa yeyote atakuwa tayari ni pm
 
Kuna rafik yangu wa kike nilimtafuta nkakuta kaolewa sasa akanipa namba ya binti ndugu yake ili nitongoze.

Tena best aliniambia hakuwezi huyu, mimi nikalazimisha we nipe namba. Nikapewa.

Aisee nilipogundua ni mwanamke bonge tu, nikakimbia kwa kutoka nduki.

Aisee vibonge mnisamehe, siwawezi 😃😀
 
Lakini vibonge ni watamu
Sikupingi.
mimi niko huku
Screenshot_20230516_143457_Video Player.jpg
 
Vibonge ukimnyandua we jua kbs hamna kuachana, Wana madhaifu mengi hawapo tayar yajulikane kwa watu wengi
Madaktari Unene tunaita Obesity- ni ugonjwa.
tumbo kama dumu la lita 20, matako ndio usiseme makubwa balaa alafu mfupi 😂😂 🤣🤣
 
Back
Top Bottom