Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata.

Wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa mwanamke awe na elimu yeyote kabila lolote umri wowote nitapenda mwanamke nianzae nae chini mpk kujuu hapo nitaamini alikuja kwa ajili yangu umri.

Nina miaka 22 pia nitapendelea wa dar japokuwa mikoani pia mnakaribishwa mm ninachohitaji ni userious wa mtu basi kama kwa yeyote atakuwa tayari ni pm
Hadi sasa hujajua sababu ya kukimbiwa?? Kazi kweli kweli
 
Nenda Kawe kwa Mwamposa wa Wanawake wakila aina
 
Kuna rafik yangu wa kike nilimtafuta nkakuta kaolewa sasa akanipa namba ya binti ndugu yake ili nitongoze.

Tena best aliniambia hakuwezi huyu, mimi nikalazimisha we nipe namba. Nikapewa.

Aisee nilipogundua ni mwanamke bonge tu, nikakimbia kwa kutoka nduki.

Aisee vibonge mnisamehe, siwawezi 😃😀
Fany ukuj kwang mtt portable hutajutia😀
 
Mwanamke wankuanzia nae chini hii kauli inabidi aizungumze mwanamke yaani mwanamke ndiye mwenye uamuzi wa kuanza chini na mwanaume sio mwanaume useme unataka uanze chini na mwanamke hio inabidi kwako it ok automatic uliye nae uone ana kuvumilia sio umoangie ila kwa mwanamke sio suala la automatic ni anapanga yeye

Kwanini mtu aanze na mtu chini bwana
Kila mtu atafute vyake mkutane katikati kuelekea juu
Dogo ajitafute kwanza mapenzi umri huo yatamuendesha sana
 
Mahusiano na Ndoa naona kama ni ngumu sana kwa mwanaume umri chini ya miaka 30....
Weka nguvu zako kujijenga zaidi japo ni vigumu sana maana ndio mda tamaa zinakuandama na maamuzi ya kupingana nazo ni madogo.

Kwakuwa unataka kuoa ngoja nikukumbushe kuwa dunia hii na asili ya uumbaji sio ya mwanamke kuweka share (money) kwenye empire yako labda kama unataka muoane ambapo sio haki.

Hapa kinachokusumbua ni nyege kwa umri huo na hata ukimpata basi baada ya miaka 6 utakuja kuona sio type yako kwakuwa thamani ya mwanaume inaongeza wakati ya mwanamke inapungua.

Labda nimeongea pombe watanirekebisha.
 
Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata.

Wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa mwanamke awe na elimu yeyote kabila lolote umri wowote nitapenda mwanamke nianzae nae chini mpk kujuu hapo nitaamini alikuja kwa ajili yangu umri.

Nina miaka 22 pia nitapendelea wa dar japokuwa mikoani pia mnakaribishwa mm ninachohitaji ni userious wa mtu basi kama kwa yeyote atakuwa tayari ni pm
We mtoto mdogo, hebu kasome. Mtoto unatafutaje demu mitandaoni
 
Back
Top Bottom