Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

Bora angesema natafuta lishangazi lenye hela tu ikaeleweka.

Sema sijui kama wapo humu
Hao shangazi hawana nyege Za kupenda/kutaka vijana Kwa kuona mwandiko
Kijana akiwa goigoi na wao wanataka show kali,matuta tumboni Hadi kifuani ?
Watakukubali Kwa kukuona?
 
Mwanamke wankuanzia nae chini hii kauli inabidi aizungumze mwanamke yaani mwanamke ndiye mwenye uamuzi wa kuanza chini na mwanaume sio mwanaume useme unataka uanze chini na mwanamke hio inabidi kwako it ok automatic uliye nae uone ana kuvumilia sio umoangie ila kwa mwanamke sio suala la automatic ni anapanga yeye
 
sifa mwanamke awe na elimu yeyote kabila lolote umri wowote nitapenda mwanamke nianzae nae chini mpk kujuu hapo nitaamini alikuja kwa ajili yangu umri nina miaka 22 pia nitapendelea wa dar japokuwa mikoani pia mnakaribishwa mm ninachohitaji ni userious wa mtu basi kama kwa yeyote atakuwa tayari ni pm
Dogo, mbona kama haupo serious?
Wewe una 22 halafu unataka mke wa umri wowote?
Au unatafuta kulelewa?!
 
Hao shangazi hawana nyege Za kupenda/kutaka vijana Kwa kuona mwandiko
Kijana akiwa goigoi na wao wanataka show kali,matuta tumboni Hadi kifuani ?
Watakukubali Kwa kukuona?
Kabisa ni kweli.

Humu sasa labda ni kutafuta tu
pisi ya kupiga nayo mikasi.

Sema hapo tena wa mikasi si unamkuta tu kulekule pub au grocery 😅😅😃
 
Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa mwanamke awe na elimu yeyote kabila lolote umri wowote nitapenda mwanamke nianzae nae chini mpk kujuu hapo nitaamini alikuja kwa ajili yangu umri nina miaka 22 pia nitapendelea wa dar japokuwa mikoani pia mnakaribishwa mm ninachohitaji ni userious wa mtu basi kama kwa yeyote atakuwa tayari ni pm
Nashauri upendelee kutembelea mahalli ambako wako utapata, kaa ukijua na wao pia wako wakitafuta wenza kwa bidii na Maombi. Jipange, Nenda pole pole kwa nia na dhamira njema huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu ktk kila hatua, nakuhakikishia utapata alie bora lakini pia atakua Mwema na anaetoka Kwa Mungu.
 
Kuna watu mnayapa mahusiano kipaumbele sana kwenye maisha yenu[emoji848]kwani ukiachana na sex kuna faida gani nyingine ya kuoa
 
Kam unakazi sawa tu tafuta mwaya utapata kuoa mapema ndio raisi kukuza kuliko kuoa uzeeni ushachoka
 
Kuna rafik yangu wa kike nilimtafuta nkakuta kaolewa sasa akanipa namba ya binti ndugu yake ili nitongoze.

Tena best aliniambia hakuwezi huyu, mm nikalazimisha we nipe namba. Nikapewa.

Aisee nilipogundua ni mwanamke bonge tu, nikakimbia kwa kutoka nduki.

Aisee vibonge mnisamehe, siwawezi 😃😀
👍
 
Nashauri upendelee kutembelea mahalli ambako wako utapata, kaa ukijua na wao pia wako wakitafuta wenza kwa bidii na Maombi. Jipange, Nenda pole pole kwa nia na dhamira njema huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu ktk kila hatua, nakuhakikishia utapata alie bora lakini pia atakua Mwema na anaetoka Kwa Mungu.
Asant sana Tlaatlaah ubarikiwe
 
Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata.

Wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa mwanamke awe na elimu yeyote kabila lolote umri wowote nitapenda mwanamke nianzae nae chini mpk kujuu hapo nitaamini alikuja kwa ajili yangu umri.

Nina miaka 22 pia nitapendelea wa dar japokuwa mikoani pia mnakaribishwa mm ninachohitaji ni userious wa mtu basi kama kwa yeyote atakuwa tayari ni pm
Miaka 22 mdogo kabisa fikiria carrier achana na wanawake mpka ukomae miak 30 hivi
 
Back
Top Bottom