Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

Hadi sasa hujajua sababu ya kukimbiwa?? Kazi kweli kweli
 
Nenda Kawe kwa Mwamposa wa Wanawake wakila aina
 
Fany ukuj kwang mtt portable hutajutia😀
 

Kwanini mtu aanze na mtu chini bwana
Kila mtu atafute vyake mkutane katikati kuelekea juu
Dogo ajitafute kwanza mapenzi umri huo yatamuendesha sana
 
Mahusiano na Ndoa naona kama ni ngumu sana kwa mwanaume umri chini ya miaka 30....
Weka nguvu zako kujijenga zaidi japo ni vigumu sana maana ndio mda tamaa zinakuandama na maamuzi ya kupingana nazo ni madogo.

Kwakuwa unataka kuoa ngoja nikukumbushe kuwa dunia hii na asili ya uumbaji sio ya mwanamke kuweka share (money) kwenye empire yako labda kama unataka muoane ambapo sio haki.

Hapa kinachokusumbua ni nyege kwa umri huo na hata ukimpata basi baada ya miaka 6 utakuja kuona sio type yako kwakuwa thamani ya mwanaume inaongeza wakati ya mwanamke inapungua.

Labda nimeongea pombe watanirekebisha.
 
We mtoto mdogo, hebu kasome. Mtoto unatafutaje demu mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…