Narudia kusema! hakuna adui mbaya kama pombe!

Hakuna watu wanaotumia pombe na kuabudu kama wachaga.Wanaitumia hadi kwenye matambiko yao lakini check maendeleo yao kuliko wewe mnywa togwa na kukaa kijiweni kupiga majungu na uvivu wa kufanya kazi.
Ni akili yako tu ndg yangu.Wachaga ni wanywa pombe lakini ni hardworkers.
Ni uamuzi wa mtu usichopenda wewe usimlazimishe mwingine afuate matakwa yako.
By the way utakunywaje pombe kupindukia familia inalala na njaa,watoto hawaendi shule.
Ukinywa pombe kise?????????ge ndio inakuwa hivyo.Wewe unakunywa pombe viroba hujala unategemea nini.
 
Pombe siyo hatari sana, pima uwezo wa kichwa chako kabla ya kunywa pombe, usinywe pombe kwa kuiga au kwa sifa.
Kama kichwa chako kinabeba bia 2 usikilazimishe kibebe bia 8 kisa umeona kuna kreti za bia zimejaa.
Kila kitu tumia kwa kiasi hata chakula ukizidisha kina madhara, wanaume au wanawake ukizidisha wana madhara kuliko pombe. Be careful.
 
Mmeona eeeh! Jinsi watu wanavyojenga hoja motomoto kutetea pombe! Pombe uingia kwenye fikra na kukulazimisha uitetee! Pombe mbaya Iseeeee!
 
Limemkuta jambo nn
 
Acha ujinga sio wote wameandikiwa kunywa pombe. Nenda kajikite kwenye soda
 
Wanywaji wanakunywa ili walewe,sasa ukinywa kiasi utalewa?,si bora tu unywe maji au juisi?,,ndo maana baadhi ya dini zimepigwa marufuku,,nashangaa kwanini mamlaka zisiweke tahadhari Kama kwenye sigara nk,au kupigwa marufuku?,kipindi cha nyuma viroba vilipigwa marufuku,lkn binadamu ni viumbe wakujiongeza,wapo wanaopima na wengine wametengeneza packages ndoogo,wamerudi kule kule lkn kivingine,hatari kweli kweli.
 
Moja Kati ya Uzi Bora huu Mwaka.

Pombe ni rafiki mkubwa wa vitu vitatu
: Umaskini
: Maradhi
: Akili ndogo (Aibu)

Mtu akitumia pombe Vibaya akawa addicted it's over .

Pombe ni heroin iliyochangamka if you know you know .

Moja ya kitu nasicho kikubali recently ni Pombe. That's why nawashauri vijana wenzangu tuitumie kwa manati.

Financial Freedom na Pombe ni maadui!

You nailed it Fren.
 
Pombe Wala Haina shida...imekaa zake kwenye chupa imetulia tuli...wewe ndiyo unashida, pombe haijakulazimisha uinywe ,umeifata mwenyewe na unaindekeza ...ukiona pombe inakuletea matatizo Fanya juu chini,pinduka binuka uachane nayo
 



Hawa wote sio wajinga..

Cc. min -me
 
Wachaga wengi tu pombe zimewaribu na kuwafilisi hasa vijana wanaojitafuta...wachaga wakipunguza pombe hakika watafika mbali sana kimaendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…