Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Far East ambazo tulipata nazo uhuru miaka ya kufanana, chumi zao zimepaishwa kuwa Tiger Economies na kuvutia uwekezaji mkubwa kutokana na utalii-wa-zinaa.Mimi kazi yangu ni kukuonya kijana uache tabia za uzinzi na ulevi.
Leo nakazia tena hasa kwenye uzinzi.
Kijana acha uzinzi.
Acha uzinzi
Nchi hizo zinatufadhili kwa ela hizo hizo za uzinzi. Matajiri na viongozi wakubwa duniani wanaendaga kutalii huko na kuacha ela nyingi.
Oil Age ikikoma Uarabuni (miaka siyo mingi mbele) itawabidi kufuata nyayo za Far East maana hawana rasilimali mbadala wa mafuta.
Mzinzi Rahabu ndiye alisaidia majasusi wa Yoshua mwana wa Nuni kuteka nchi ya Yeriko Yoshua.2:1-24. Watakatifu msiozini mlikuwa wapi?
Kwahiyo labda unamaanisha kwamba Ellon Musk yuko sahihi kwa uwekezaji wa matrilioni ya ela; wa kutengeneza Robot Wives ili uzinzi ukome.
Sasa hivi AI inakuja na mpango wa kufanya death optional (kufa kuwa hiari), hivyo wazinzi wataendelea kuishi tu.
Onyo lako limeakisi maisha ya Agano la Kale ambapo wazinzi walifungiwa mawe ya kusagia shingoni na kuuawa.
Sasa hivi hatuko chini ya Torati tena bali Neema iokoayo bure. Isitoshe bila wadhambi (wakiwemo wazinzi) Yesu hasingeenda Msalabani wala hasingeuijia ulimwengu maana wenye afya hawahitaji tabibu (watakatifu hawamhitaji Yesu).
Uzinzi na ulevi ni subjective not objective.