Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #41
Mungu hutumia njia nyingi kuponya watu na misiba.Leo nimeongea na mademu wawili tofauti wapya. Na wote wapo kwenye 18 zangu. Ila nimepata hofu, nilipomalizana na wakwanza nikaingia JF, nikakutana na uzi huu ukiwa juu kabisa.
Huyu wa pili jioni hii nimemalizana nae nimeingia JF Nakutana tena na uzi huu huu 😮💨😮💨
Acha uzinzi