Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #41
Mungu hutumia njia nyingi kuponya watu na misiba.Leo nimeongea na mademu wawili tofauti wapya. Na wote wapo kwenye 18 zangu. Ila nimepata hofu, nilipomalizana na wakwanza nikaingia JF, nikakutana na uzi huu ukiwa juu kabisa.
Huyu wa pili jioni hii nimemalizana nae nimeingia JF Nakutana tena na uzi huu huu ๐ฎโ๐จ๐ฎโ๐จ
Usipambane na tatizo pambana na chanzo cha tatizo, chanzo cha uzinzi ni nini tuanze nachoMimi kazi yangu ni kukuonya kijana uache tabia za uzinzi na ulevi.
Leo nakazia tena hasa kwenye uzinzi.
Kijana acha uzinzi.
Acha uzinzi
Unaota?Mimi kazi yangu ni kukuonya kijana uache tabia za uzinzi na ulevi.
Leo nakazia tena hasa kwenye uzinzi.
Kijana acha uzinzi.
Acha uzinzi
We kijana?Sawa
Me ni Mzee nilisahau ๐๐We kijana?
"Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."Habari,
Jamani uzinzi ni dhambi.
Hata kumtazama mtu kwa kumtamani MATHAYO 5:28