Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ngozi nyeusi imekukosea nini, yani watu washindwe kusema uchafu wanaokutana nao huko mahospitalini kwakua ni ngozi nyeusi?kwasababu sahivi huumwi siyo? Ngozi nyeusi iskie tu. Ngoja upatwe na chochote mbio kwa madaktari haohao unaowakebehi sasa hivi.
Hosptali za maana hapa Tz zinajulikana, huko kwingine ni ujinga tu.