Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4.
Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8 viwanja vya mikoani na Simba atakuwa kacheza mechi 5 viwanja vya mikoani, kwa maana hiyo mzunguko wa pili Yanga atacheza mechi 8 na timu za mikoani pale kwa Mkapa na Simba atacheza mechi 8 kule mikoani.
Kimahesabu, wenye akili timamu na wenye uwezo wa kuchanganua mambo watakuwa wanayo majibu ya nini kinaenda kutokea mwisho wa msimu.