Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kwa mkapa hatoki mtu alafu mikoani draw au kufungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnavoshinda kwa mkapa mmefika wapi?Miaka zaidi ya 80 tangu muanzishwe hayo matokeo ya Mikoani yamewafikisha wapi?
Ujinga unao wewe ambae ni miongoni mwa wanaoamini unbeaten ya yanga ligi ya NBC ni mafanikio kuliko hata kuingia makundi CAF champions.Nyie mnavoshinda kwa mkapa mmefika wapi?
Mashabiki wa Simba wengi ni wajinga na wanaendeshwa na propaganda za kufika hatua ya makundi club bingwa.
Tanzania hakuna team yenye mafanikio club bingwa au shirikisho. Makundi nayo ni mafanikio? Huu ujinga sijui utaisha lini!
Unajiita timu kubwa unaona kuingia makundi ni mafanikio? aishi miaka mingi mzee RageUjinga unao wewe ambae ni miongoni mwa wanaoamini unbeaten ya yanga ligi ya NBC ni mafanikio kuliko hata kuingia makundi CAF champions.
Vile vile wewe ni mjinga maana unaamini kufanikiwa lazima ubebe kombe. Hujui kama kufanikiwa kuna viwango. Akili zako hazijui kama taifa stars ikifuzu kushiriki world cup tayari ni mafanikio .Hakika wewe ni utopolo.
Ndio ni mafanikio lakini sio kwa kiwango kikubwa na ndio maana mashabiki hawakusanyiki airport kuipokea timu inapotolewa hatua ya robo fainal au kuzunguka mtaani kushangilia robo fainal.Unajiita timu kubwa unaona kuingia makundi ni mafanikio? aishi miaka mingi mzee Rage