Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
OngezeaNa uzuri kuna timu fulani hivi, ujanja wake wote ni pale kwa Mkapa pekee! Nje ya hapo, ushindwe mwenyewe kuifunga! Au kutoa sate.
Hata kwa mkapa kwenyewe inategemea wanacheza na timu gani azam alijipigia mtibwa alizuiwa kwa red card mbiliNa uzuri kuna timu fulani hivi, ujanja wake wote ni pale kwa Mkapa pekee! Nje ya hapo, ushindwe mwenyewe kuifunga! Au kutoa sate.
Wewe unashindwa nini kupata ayo matokeo kwenye majaruba? Wenzako wanatwanga kote kote iwe mikoani ama kwa mkapa sasa wewe endelea kutafuta matokeo kwa mkapa tu tuone utafika wapi kama sio kugombania nafasi ya 6 na wakina NamungoKwa hiyo kwenye majaruba ndio kuna amua nani awe bingwa. Hakika hii ligi ya hovyo sana na kuna timu inaona ina kiwango kupata matokeo kwenye matope.
Mkuu hii team ndio wale wa k koo karibu kabisa na barabara ya mwendokasi?Na uzuri kuna timu fulani hivi, ujanja wake wote ni pale kwa Mkapa pekee! Nje ya hapo, ushindwe mwenyewe kuifunga! Au kutoa sate.
Kwa frank lampard [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu hii team ndio wale wa k koo karibu kabisa na barabara ya mwendokasi?
Miaka zaidi ya 80 tangu muanzishwe hayo matokeo ya Mikoani yamewafikisha wapi?Wewe unashindwa nini kupata ayo matokeo kwenye majaruba? Wenzako wanatwanga kote kote iwe mikoani ama kwa mkapa sasa wewe endelea kutafuta matokeo kwa mkapa tu tuone utafika wapi kama sio kugombania nafasi ya 6 na wakina Namungo
Wewe umefika wapi? Tuonyeshe kombe ulilobeba la kufika robo fainali ya caf, Sijawai kuona kombe la robo fainali tokea nizaliwe maana ndo kichaka mlichobaki nacho kwa sasaMiaka zaidi ya 80 tangu muanzishwe hayo matokeo ya Mikoani yamewafikisha wapi?
Acha inyeshe tujue panapo vujaNafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4.
Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8 viwanja vya mikoani na Simba atakuwa kacheza mechi 5 viwanja vya mikoani, kwa maana hiyo mzunguko wa pili Yanga atacheza mechi 8 na timu za mikoani pale kwa Mkapa na Simba atacheza mechi 8 kule mikoani.
Kimahesabu, wenye akili timamu na wenye uwezo wa kuchanganua mambo watakuwa wanayo majibu ya nini kinaenda kutokea mwisho wa msimu.
Timu kama mshumaa ukitoka nje unazimikaNa uzuri kuna timu fulani hivi, ujanja wake wote ni pale kwa Mkapa pekee! Nje ya hapo, ushindwe mwenyewe kuifunga! Au kutoa sate.
Uwanja wa jana ulikua na tope?Kwa hiyo kwenye majaruba ndio kuna amua nani awe bingwa. Hakika hii ligi ya hovyo sana na kuna timu inaona ina kiwango kupata matokeo kwenye matope.
Aaaah jibu kilichoulizwa. Matokeo mazuri ya kwenye majaruba yamewafikisha wapi?Wewe umefika wapi? Tuonyeshe kombe ulilobeba la kufika robo fainali ya caf, Sijawai kuona kombe la robo fainali tokea nizaliwe maana ndo kichaka mlichobaki nacho kwa sasa
Kubeba Ubingwa....Aaaah jibu kilichoulizwa. Matokeo mazuri ya kwenye majaruba yamewafikisha wapi?
Umenisaidia na umemalizaKubeba Ubingwa....
Next question please