Narudia tena, Usafiri wa daladala hapa Dar es Salaam ni kwa ajili ya watu masikini

Dar es Salaam Bora watu waendelee kuwa na kipato cha chini.Dar watu wengi wakiwa na kipato cha Kati au juu,mji utazidiwa kwa magari
Na itakuwa hatari zaidi.

Ikifika hatua hiyo kama miundombinu ni ile ile itakuwa bora kutembea kwa mguu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Ase samahan,Niko na Mercedes c200 wenye vipasso naona ndo mnapanda daladala,kama kweli una gari utanielewa kwa hili.,huwa kuna ki status flan tu kwenye maisha yako kinaji set yan kama unagari likiharibika haiwezi daladala kua option yako ya kwanza kama njia ya usafiri,kuna bodaboda au basi tuseme matumizi ya uber/bolt yanakuja sio kusema eti tukukute kwenye daladala,gari ikae week mbovu sio excuse ya kukukuta kwenye daladala na ulkua una uwezo wa kumiliki ilo gari ata kama ni kwa kujichanga,
 

Jitathmini upya ndugu,kama gari ikiharbika unakimbilia daladala[emoji23]ase nmecheka.Rubish kabisa
 
Jitathmini upya ndugu,kama gari ikiharbika unakimbilia daladala[emoji23]ase nmecheka.Rubish kabisa
Ulitegemea nipande guta? pumabv. huna akili.....daladala si ni gari kama magari mengine.
 
Yani hata kumiliki gari bado unaendesha mwenyew ni umaskini mkubwa tu...
Umaskini ni neno relative, hadi upate wa kujilinganisha naye......kama kumiliki gari ya kutembelea ni utajiri basi nchi zilizoendelea kila mtu ni tajiri maana karibu kila mtu anao uwezo wa kununua gari...
 
Mkuu wewe inawezekana umetokea familia ya matajiri, sisi tuliokulia kijijini kutokea maisha ya hali ya chini hatujali sana kuhusu kuchangamana na watu wengine kwani ndo tulikotokea huko, hata kama kwa sasa tunazo hizo status.....ni sawa na kusema diamond asiende kujumuika na masela wa mbagala kisa kwa sasa ana status ya masaki......kwa aina ya mawazo yako unaonekana kabisa wewe ni miongoni mwa wale mboga saba mliozaliwa na kukulia town, hamuelewi shida....
 
Wengine hawapendi kupanda daladala mkuu, halintu ya maisha inasababisha
 
Usafiri wako inautumia wakati maalumu mf. kwenda out na familia.
 
Ta
Ok, ila si unaongea nao tu kwamba mm naanzisha stuff bus!

Mbona mabus ya mkoani yapo ya bei kubwa na ndogo!?
Lodge zenyew zipo za elfu 15 mpaka elfu 70 huko.!
Ingekaa njema sana kama pangekuwa na luxury public transport hapa Dar
 
Sio kweli.

Kuna bosi mmoja mkinga ,

Ana magari mengi tu,

Naona anayapaki tu na kwenye mwendokasi anadandia.
Usituseme wakinga, sisi kazi yetu ni kutunza pesa ili nizione zikiwa nyingi! kwani hata nchi zilizoendelea katikati ya miji mikubwa Kama London, Washington DC watu wanatumia public buses kwa ukiingia na gari ndogo malipo ya parking ni gharama!
 
Acha kukizungushazunguja nawewe. Mtoa mada hajazyngumzia bajaji hapa.

Sma tu watu hatupendi kuitwa masikini kwa sababu ni neno linakera masikioni.

Huo ndio ukweri ndugu zangu maisha ya daladala nikutokana na umasikini.

We mwenye bajaji za kukuingizia pesa ya kula ila huna uwezo wa kumiliki gari nao huo ndio umasikini maana huwezi kuhudumia gari ambalo haliingizi pesa yeyote.

Kwa kifupi wewe ni masikini uliyeridhika na hali yako ndio maana kuhenya kwenye daladala unachulia powa.
 
Umenifanya nicheke sana kijana!

Kwa coment humu utawajua vijana na wazee.
Ndio utaratibu mkuu usipanic sana,

Angalia matukio yote ya hivi karibuni wahusika makabila Yao yametajwa,

Sasa hivi ukipiga tukio tunataja na kabila lako.
 
Naona mnaanza kutumia kingereza kufichia umaskini.

Rudi kwenye mada mtoa mada hajazungumzia kutembea kwa miguu. Kasema usafiri wa daladala
"We need to teach our generation that owning a car is not a symbol of success, and walking does not mean poverty"-The Late Nelson Mandela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…