Narudia; Vijana maisha ni Polepole, huo ndio Mwendo. Usiyasubiri. Yafuate

Narudia; Vijana maisha ni Polepole, huo ndio Mwendo. Usiyasubiri. Yafuate

Ni kweli ambiere kinachoboa kwenye shule za serikali ni idadi kubwa ya wanafunzi kwenye chumba kimoja hasa kwa shule za mjini ila kwa sisi tuliosoma mkoani hasi shule za Kilimanjaro mnakaa wanafunzi wawili kwenye dawati au mmoja kabisa hivyo ratio ya mwalimu na mwanafunzi inakuwa sawa.

Lakini bado kama mtu hamudu shule ya private asiache kuanzisha family kisa sababu hiyo.

Sahihi Kabisa.
Kama mtu yupo mji wenye shule zenye wanafunzi wengi anaweza kuangalia alternative.
Kama ni kuhusu lugha anaweza kumfundisha mtoto wake tangu akiwa mtoto nyumbani.
Kama mzazi hajui kingereza hapo hana budi kumpeleka mtoto daycare na English medium zinazofundisha English
 
Back
Top Bottom