Miaka karibu 50 tangu kile kilichoelezwa kusitishwa kwa safari za kwenda mwezini mwaka 1972,sasa kituo cha anga cha NASA kimesema kinataraji kurejea safari hizo hivi punde.
Hapo Jumatatu chombo kinachotajwa kuwa na nguvu kubwa kiitwacho Artemis kitafanya safari za majaribio kwenda karibu na mwezi kuangalia usalama wa kupeleka tena watu siku zijazo. Mamilioni ya watu duniani akikwemo makamu wa raisi wa Marekani Kamala Harris watashuhudia tukio hilo kutokea kituo cha utafiti wa anga cha Kennedy jiijini Florida.
Kumbuka safari hii hatimae ilishindikana na kuahidiwa mwezi uliofuata halafu ikawa kimya.
Hakuna aliyewai kwenda mwezini, China na marekani kwenda mwezi ni uwongo wenye dhumni fulani.
Allah katika Qur'an tukufu anasema hapo juu kabla ya Atmosphere Kaweka uzio mkubwa ambao hauruhusu kitu chochote kuingia dunia wala kutoka Duniani. So ikiwa utaamini NASA na CHINA kwenda mwezini basi utakuwa unamaanisha kuwa Allah na Qur'an ni uwongo.
Hao wanasayansi wanatunga uwongo uwongo ili kuwa poteza waja wa Allah.
Cc:&zurri

Watu wanaoamini Quran m duniani ni kama bilioni 2 tu au robo ya dunia, wengine wote waliobaki hawaiamini wala sio kitabu cha muongozo wa kuwaambia kipi kinawezekana au hakiwezekani, hao ni pamoja na asilimia 99 ya NASA.

Allah kasema hapo juu kuna fansi uwezi kwenda nje ya hii dunia. Hao akina China, Urusi na NASA ni waongo wakubwal.
Shauri yenu mnao muamini Allah badala yake mnaamini binadamu waongo waongo especially wanasayansi.

Ndugu yangu Baki tu na Iman yako kwenye hili. Make Dunia ilipo katika swala la technology ni mbali sana. Bora unyamaze tu.. yaan kama wewe umelala Kuna watu hawalali wanaangaisha vichwa sana katika tafiti mbalimbali. Yaan kama wewe unakesha kusoma corohani na unashinda madrasa. Kuna watu wako nje kuumiza kichwa sana
Allah kasema hapo juu kuna fansi uwezi kwenda nje ya hii dunia. Hao akina China, Urusi na NASA ni waongo wakubwal.
Shauri yenu mnao muamini Allah badala yake mnaamini binadamu waongo waongo especially wanasayansi.
Nan kakuambia hatuamin Mungu. Na sayansi unayoiponda hapa ndo unaitumia kuchat huku jamii forum. Unafikiri bila sayansi ungekuja kutoa mawazo yako mfu humu