Ishu ya ndege ni tofauti sana na ishu ya safari ya kwenda mwezini, sababu ukiangalia mchakato wake una makorokoro mengi sana.
Ishu ya Satellite inatakiwa itazamwe upya kuhusu ukweli wake kama ilivyo ishu ya Big Bang theory, humu wengi ni mashabiki wa Sayansi na huenda hamna misingi mizuri juu ya elimu hii au hamfatilii.
Kitabu hakiongopi ndiyo maana ishu ya kwenda mwezini imekuja na mgongano mwingi kuanzia kwa wenyewe sababu wanajua ya kuwa hiyo ni sanaa, mfano alichokieleza leo hii mtoa mada na huyo kiongozi kinathibitisha ya kuwa hakuna mtu aliye kwenda mwezini, sasa vipi udai Qur'aan imesema uongo ?