NASA mbona haieleweki kuhusu kupeleka watu mwezini?

NASA mbona haieleweki kuhusu kupeleka watu mwezini?

Kuna jirani yangu ni mrangi walikuja watoto wake aged 20 - 25 sas kuna uyo mmoja kwanza nilikuwa najua ni anaumri wa miaka 30 mpk 35 kumbe mdogo mana ameanza kuzeeka na ukimuangalia kw wasiwasi unaweza dhania mgonjwa wa akili, walipokuja akanambia kwa tambo vijana wake wapo chuo ila nilishtuka kidogo walikaa wiki 2 hakuna hata halotoka kwenda chuo hata siku moja mda wote ndani wao mda wote wanatembea wanasoma kuruani tu halafu hakikuwa kipindi cha likizo na semester ndiyo imenoga, ajab zaid uyo ambae nilikuwa najua anacheza umri wa 30 mpk 35 nilikuja gundua hajui kusoma wala kuandika kuja kufatilia chuo wanachosoma ni madrasa nilichoka ni watu fulani wabishi kukubaliana na sayansi though wakiumwa anakimbilia panadol which ts impact of science.
Sasa wewe na hiyo elimu yako ya secular mbona imekufanya kuwa mjinga zaidi ? Kama hata kuhoji juu ya habari za anga unashindwa, na unatoka kirua mbele na kunadi uongo huu, wewe ndiyo mjinga zaidi.

Hao wata shutumiwa kwa kukudanganya wewe na huenda wewe hukuwaelewa ila kwa maarifa na utambuzi wa mambo huwezi kuwafikia.

Akili mmepewa bure zitumieni aisee.
 
A
Ndugu leta facts zinazoprove uwepo wa uzio na sio imani kama ulibyojibu

Unataka facts gani labda ? Hiyo niliyo ni facts. Sasa wewe utuonyeshe nani aliwahi kwenda mwezini na uonyeshe ukweli wa hizo habari.
 
Hakuna aliyewai kwenda mwezini, China na marekani kwenda mwezi ni uwongo wenye dhumni fulani.

Allah katika Qur'an tukufu anasema hapo juu kabla ya Atmosphere Kaweka uzio mkubwa ambao hauruhusu kitu chochote kuingia dunia wala kutoka Duniani.

So ikiwa utaamini NASA na CHINA kwenda mwezini basi utakuwa unamaanisha kuwa Allah na Qur'an ni uwongo.

Hao wanasayansi wanatunga uwongo uwongo ili kuwa poteza waja wa Allah.
Cc:&zurri
Kabla ya atmosphere,? 😁 Hapo tunatoka na kuingia karbu kila siku
 
Ndugu leta facts zinazoprove uwepo wa uzio na sio imani kama ulibyojibu
Unajua mpaka muda huu hamjaleta facts hata mona kuhusu hii kadhia ? Zaidi ya stori na kudhihaki watu.

Facts tumeleta sisi, kwamba huwezi kupasua anga mpaka kwa idhini ya Mola na hiyo idhini haijatolewa ndiyo maana NASA wanaendelea maigizo yao huko Area 51. Kila wakitoa habari zao wenye akili na kufikiria kiundani wanaona dosari.
 
Mimi sijasapoti inshu ya NASA kufika huko....lakini pia sikubaliani na wewe kwamba sababu ni uzio kama unavyodai kwa sababu hoja yako ime base zaidi kwenye imani which is intangible..
 
Mimi sijasapoti inshu ya NASA kufika huko....lakini pia sikubaliani na wewe kwamba sababu ni uzio kama unavyodai kwa sababu hoja yako ime base zaidi kwenye imani which is intangible..
Njaa ni tangible au kinyume chake ? Ila unakubali uwepo wake sababu kuna ishara za kuwepo hilo. Yaani siyo mpaka uone bali unapata jibu kwa kinyume chake.

Dini (Hapa naongelea Uislamu, sijui kuhusu dini nyingine) inatoa muongozo na kusema ya kweli, kitendo cha wao kushindwa kufika huko ni ishara na ni uthibitisho ya kuwa hilo haliwezekani. Sasa wanacho fanya ni maigizo na kuwadanganya watu kwa picha bunifu.
 
Kuna jirani yangu ni mrangi walikuja watoto wake aged 20 - 25 sas kuna uyo mmoja kwanza nilikuwa najua ni anaumri wa miaka 30 mpk 35 kumbe mdogo mana ameanza kuzeeka na ukimuangalia kw wasiwasi unaweza dhania mgonjwa wa akili, walipokuja akanambia kwa tambo vijana wake wapo chuo ila nilishtuka kidogo walikaa wiki 2 hakuna hata halotoka kwenda chuo hata siku moja mda wote ndani wao mda wote wanatembea wanasoma kuruani tu halafu hakikuwa kipindi cha likizo na semester ndiyo imenoga, ajab zaid uyo ambae nilikuwa najua anacheza umri wa 30 mpk 35 nilikuja gundua hajui kusoma wala kuandika kuja kufatilia chuo wanachosoma ni madrasa nilichoka ni watu fulani wabishi kukubaliana na sayansi though wakiumwa anakimbilia panadol which ts impact of science.
Heheheee
Mdili namada iliopo jukwaani achana na huyo jirani yako
Mana yeye kafeli tayari sababu hata aya yamwanzo kabisa imeshuka ikalazimisha ama kusisitiza kuhusiana na kusoma
Haijataja elimu ipi ila elimu zote inatakiwa uzisome kwafaida yako najamii kwaujumla
Iqraa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiki unachokiandika au kukitetea ni facts ? Unaweza kutuonyesha hiyo facts au unajiaminisha ya kuwa nadharia za kisayansi ndiyo facts ?

Kuna uongo mwingine kuujua uhitaji akili kubwa au kufikiria kiundani ? Mfano mdogo tu leo hii wewe unaamini ya kabisa ya kuwa mtu alikwenda mwezini tukikwambia uthibitishe nina uhakika hutaweza iwe kwa Sayansi au kwa hoja za kiakili. Ifikie hatua hizi akili mlizo pewa mzitumie vizuri.
Mimi nasema ndio naamini watu walikwenda mwezini.
Wewe ndio unatakiwa uthibitishe kwamba hakuna mtu aliyekwenda mwezini.
 
Kitendo cha wao kusema wanaenda kuangalia kama kuna usalama wa kupeleka tena binadamu siku zijazo ni kauli tosha kusema hawajawahi kupeleka binadamu mwezini.
Yaani walikuwa na uthubutu wa kutake immeasurable amount of risk mwaka 1969 lakini wanaogopa kufanya walichofanya enzi hizo mwaka 2022 tena kwenye gap la miaka 53?

Bila shaka 1969 lunar landing ilikuwa geresha ya cold war, I stand to be corrected.
Yote kwa yote I respect their tremendous efforts juu ya science developments na space exploration.
"Kitendo cha wao kusema wanaenda kuangalia kama kuna usalama wa kupeleka tena binadamu siku zijazo ni kauli tosha kusema hawajawahi kupeleka binadamu mwezini."

Neno kama kuna usalama umelitafsiri vp mpaka ulitumie katika hitimisho lako?
 
Usalama wa spacecraft itself plus data collection. and the safety of specified environment if it's suitable enough for human activities and residential usage.
Kitu ambacho hawakufanya miaka 53 nyuma.
 
Mimi nasema ndio naamini watu walikwenda mwezini.
Wewe ndio unatakiwa uthibitishe kwamba hakuna mtu aliyekwenda mwezini.
Wewe unao ushahidi kuonyesha mtu alienda mwezini ?

Jukumu la kuthubitisha sio kwangu tu hata wewe ni jukumu lako. Mimi nimeshakupa kanuni ya ujumla su jibu la ujumla kwalo limeshakata, kwamba si tu wanadamu bali mpaka majini hawawezi kuvuka hilo anga na kukaribia hiyo mbingu ya kwanza.

Mmewekewa aya huko mwanzo, sasa ili ionekane aya ni ya uongo wekeni ushahidi wa kweli kuonyesha kuna mtu au kuna watu walikwenda mwezini. Sasa msituletee stori za vijiweni sisi tunataka uhalisia (facts).
 
Shida siyo kutokulala cha msingi je haya wanayo yaandika ni ya kweli na yanafata kanuni za Kisayansi ? Jibu ni nadharia tu za kufikirika na kuwadanganya watu, mfano wewe leo hii ukidanganywa utawafanya nini na umeshashughulishwa na muda huna.

Sasa hao wenzenu kadhalika hawalali kwa ajili ya kutunga uongo na huna cha kuwafanya.
Wao NASA kama NASA specifically wanapata faida gani kukuongopea wewe?
 
Wao NASA kama NASA specifically wanapata faida gani kukuongopea wewe?
Swali zuri, ushawahi kujiuliza kwanini wanaongopa ?

Kwao faida wanapata kubwa sana, katika kujiweka katika sehemu ambayo si yao hii ni faida yaani kusifiwa na kufanya waogopwe na kutukuzwa.
 
Wewe unao ushahidi kuonyesha mtu alienda mwezini ?

Jukumu la kuthubitisha sio kwangu tu hata wewe ni jukumu lako. Mimi nimeshakupa kanuni ya ujumla su jibu la ujumla kwalo limeshakata, kwamba si tu wanadamu bali mpaka majini hawawezi kuvuka hilo anga na kukaribia hiyo mbingu ya kwanza.

Mmewekewa aya huko mwanzo, sasa ili ionekane aya ni ya uongo wekeni ushahidi wa kweli kuonyesha kuna mtu au kuna watu walikwenda mwezini. Sasa msituletee stori za vijiweni sisi tunataka uhalisia (facts).
Unajua maana ya "imani"?
Mimi nimeshakwambia ndio naamini watu walikwenda mwezini.
Sasa wewe unataka uthibitisho au ushahidi gani?

Kazi iliyobaki ni wewe kuthibitisha kwamba hakuna mtu alikwenda mwezini na kwanini.
 
Swali zuri, ushawahi kujiuliza kwanini wanaongopa ?

Kwao faida wanapata kubwa sana, katika kujiweka katika sehemu ambayo si yao hii ni faida yaani kusifiwa na kufanya waogopwe na kutukuzwa.
Mimi nimeshajiuliza kwanini waongope na jibu nililopata ni hakuna faida yoyote watakayopata wakiongopa.

Sasa niambie point ipo wapi hapo kwenye kusifiwa, kuogopwa na kutukuzwa kama unavyosema na kunawafaidisha vipi NASA developmentally, Physically, Economically na Scientifically?
 
Back
Top Bottom