Kitendo cha wao kusema wanaenda kuangalia kama kuna usalama wa kupeleka tena binadamu siku zijazo ni kauli tosha kusema hawajawahi kupeleka binadamu mwezini.
Yaani walikuwa na uthubutu wa kutake immeasurable amount of risk mwaka 1969 lakini wanaogopa kufanya walichofanya enzi hizo mwaka 2022 tena kwenye gap la miaka 53?
Bila shaka 1969 lunar landing ilikuwa geresha ya cold war, I stand to be corrected.
Yote kwa yote I respect their tremendous efforts juu ya science developments na space exploration.