Nani alikwambia Imani haithibitishwi ? Imani inathibitishwa na mimi nimeshakuthibitishia ya kwamba imani yangu ni kuwa Qur'aan haisemi uongo, uthibitisho ni wao kushindwa kwenda huko mwezini. Sasa na wewe unaamini hilo, ila kuna vitu yaani ishara zilizo kupelekea kuamini hilo.
Kwahiyo hata uwe na imani ya sampuli lazima uwe na ushahidi juu ya imani hiyo ujue ni imani ya kweli au ya uongo.
Sasa inaonekana una uchache wa elimu juu ya tamko imani. Imani ni uhalisia na si nadharia kama za Sayansi japo kuna imani sahihi na imani potofu yaani za uongo.
Twende kazi.